Kinachoboa Mwanza


wewe muongo sasa hivi nipo kwa mama lishe dampo kaniletea wali na sangara wa mchuzi mzito tena tamu acha kudanganya watu wewe uliaguza supu ya samaki
 
Mkuu, pitia pale Villa Park uone mambo.
 
Mwanza ni jiji ambalo halina presha kama Dar na Arusha, halafu hatuna mambo mengi sana hivyo tuchukulie tu tulivyo
 
Mkuu kama ulienda kula kwa mama ntilie unataka kulinganisha na hotel kubwa?, wanaume wa Darisalama mnapenda sana mambo ya kulost ndio maana mnatumia booster kunako 6*6
 
Zunguka kote ila mambo yote Tanga Bwana kuna miaka flani nilienjoy sana vyakula kila ninachokula naienjoy aisee bei ya kawaida kabisa. Nimetoka zangu bara huko nawachukia dagaa hatari ila Tanga ikanifanya nijue upande wa pili na shilingi walivokuwa watamu kama sio ninaowachukia, nikaondoka na somo moja hakuna chakula kibaya ila mapishi tuu. Tukiacha yote watu wa mikoa tofauti na Pwani mapishi ni mabovu yaani hovyo hovyo, nishawai kwenda Sumbawanga kila mgahawa ninaokula ni hovyo nashindwa kabisa kumaliza chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…