Kinachoboa Mwanza


Kwahiyo kata kei na madela ndiyo mavazi ya mjini.?

Bure kabisa.
 
Makao makuu ni Katoro, Chato mbwembwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnaojitutumua sijui kuipuuza chato mnapoteza mda,Chato huko itakuwa makao makuu ya mkuu wa mkoa tarajari,watu wastaarabu kama watumishi ndio watajenga, ukitaka biashara ndo nenda huko kwingine sijui katoro sijui buselesele sijui na pumba gani.
Hata mkoa wa Songwe makao makuu yapo Vwawa,mji wa watumishi na wastaarabu lakini hakuna pesa kama Tunduma au Mlowo miji ya wachuuzi na wahuni wahuni
 
Kwahiyo kata kei na madela ndiyo mavazi ya mjini.?

Bure kabisa.
we mnyoa denge na kiduku unaongea nini? nani kasema kata k hapa? jifunzeni kuoga na ustaarabu kwanza.Ukitaka kujua nachoongea angalia watu waliosoma na wasio soma..
 
we mnyoa denge na kiduku unaongea nini? nani kasema kata k hapa? jifunzeni kuoga na ustaarabu kwanza.Ukitaka kujua nachoongea angalia watu waliosoma na wasio soma..

Wewe upo kundi gani, hoja yako ni ipi hapo.?

Viduku mnanyoa huko mnaojiita wa mjini, hovyo kabisa.... kama wewe pia ni kundi la wasomi kadai pesa zako zimeenda bure.
 
Sasa ww unaenda Mwanza Maeneo ya uchochoroni huko kwa msosibwa buku then una generalize, kuna maeneo msosi unapikwa buana acha mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekosa huu uzi na comment yako ya hivi,ningestafu jf
 
Broo umekalia ukwaju asubuh hi duh unaropokwa tu
 
Acha uongo wewe kelele nyiiingi watu wa huku watu wa huku...!kama hujui machimbo tuulize wenyeji tukwambie maana mlioingia mjini kwa mbio za mwenge mna shida.huko pwani unakosifia kuna nini cha maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…