This is a hard fact!
Lowassa ana siri kubwa moyoni
Lowassa amekuwa kiongozi mkubwa katika taifa hili. Mazuri aliyoyafanya yalionekana na yataendelea kukumbukwa. Kama binadamu hawezi kukosa kasoro hapa na pale, ndio asili ya maisha na kuishi kwa binadamu yeyote.
Kilichokuja kukumbana na bwana huyu katika utendaji wake kama Waziri mkuu na sakata lililolitesa taifa la RICHMOND.
Toka wakati huo Lowassa ameonekana kama shetani, msaliti na fisadi mkubwa wa taifa hili.
Najiuliza ukweli hapa ukoje?
Nijuavyo mradi wa RICHMOND which was a MULT BILLION SHILLINGS CONTRACT, hauwezekani ukamhusu Lowassa pekee. Ni lazima cabinet yote ilihusika hatua kwa hatua hadi final conclusion yake.
Kum-single out MTU mmoja kwa jambo ambalo wengi wanapaswa kuwajibika, Its just not fair!
Kwa kauli ya Mkuu wa Nchi, hili kwa Lowassa lilikuwa ni ajali tu, (MANENO HAYA HAKUTAMKA KWA BAHATI MBAYA)
Lakini hata Lowassa mwenyewe kwa kauli yake siku ya kujiuzulu alitabanahisha kuwa anajiuzulu ili "KUKILINDA CHAMA CHAKE NA SERIKALI YAKE", Bila shaka kwa makosa haya ambayo yaneweza kukigharimu chama na serikali yake!
Leo anapigwa vita hadi ndani ya chama hicho alichokiokoa
Najiuliza siku akiamua nayeye kufunguka, Itakuwaje?
Nijibu kwanza hili swali!! je alihusika au hakuusika?
kushirikiana na wengine uhalifu ni kosa hata kama ukiwataja , hiyo haikuondolei wewe binafsi uhalifu ulioshiriki .
Nasikia CCM wanataka kumlima red card
Nijibu kwanza hili swali!! je alihusika au hakuusika?
Mkuu Toothpick, silence yake ndio silaha yake kubwa na ndio karata yake ya mwisho!.Cha msingi ni Lowasa kujiweka wazi kabla ya uchaguzi,ili kama kuna jambo ambalo ataombwa kufafanua kwa manufaa yake lifanyike haraka kabla ya uchaguzi kama ataendelea kukaa kimya basi kupata hiyo nafasi hata kwenye chama chake itakuwa ni ngumu sana.Ni kweli Lowasa ni mtendaji mzuri sana hata jamii inamkubali kwa utendaji wake kasoro ni hiyo moja tu kukaa kimya bila ya kufunguka.