Kina mama kuweni makini Kufanya mapenzi na vijana wadogo ni risk sana kiafya

Mama miaka 50 unainamishwa na kavulana cha miaka 20!

Aisee! Hivi huwa inakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wenye mitazamo kama yako wanachukulia tendo la ndoa kama sexual objectification of a woman.
Mnachukulia kama lile tendo ni kuonesha male domination over female.

Yani mnapokuwa ktk lile tendo mnadhani wanaume tunamdhalilisha na kumtumia mwanamke badala ya kuona kama ni tendo la kuwaunganisha na kuwaridhisha wote mnaoshiriki tendo.

Unahisi sisi wanaume ndio tunafaidika au tunafaidi peke yetu na wanawake wapo pale kuhudumia master wao. Unachukulia ni sehemu ya kumuonesha umwamba mwanamke na watu wote wanaojua uhusiano wetu.

This is totally wrong, young man!
Mwanamke wako ni mshirika wako, ni rafiki yako, na ndugu yako. Sio kitu kama gari au mali kama mbuzi au ng'ombe.
 
Back
Top Bottom