Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,203
- 4,111
Asallam/aleykum kwa waislam na Bwana Yesu asifiwe.
Kaka zangu kwanza msinielewe vibaya lakini napenda kuwauliza mnajifikiriaje mnapotumia maneno ya kukera kwa kinadada ambao ni kama dadazenu au mama zenu nyumbani!
Unakuta binti anapita mnaanza HUYU NIMESHA MLA! HATA JAMAA AMESHA MGONGA! LIMEKAA POA KWAKUPIGA MITI! maneno ya ajabu ajabu tena kwa sauti, UMEMLA!! kawa samaki, jamani kiukweli mnatudharilisha kwani hakuna maneno mengine?
Mnajisikiaje katika nafsi zenu mtumiapo maneno hayo na mengine! Mnatudharau, mnatutukana, au mnatusifia?
Mwenyezi Mungu awe nanyi Zuwenna