Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,948
...ni kweli kwamba mkimpenda kijana (au mwanume) - an yeye akawa hajui kuwa anapendwa huwa mnamuonyesha chuki?
Swali langu linatokana na kisa cha kweli kifuatacho:
Kuna kijana tuliajiriwa nae mahali, bosi wetu akiwa mama mtu mzima. Baada ya muda mfupi mama akaanza kumwandama kijana hata kwa kisa kisichojulikana. Tulianza kumtania tukimwambia kuwa ameongezewa jukumu jipya kwamba "he will be responsible for anything that goes wrong."
Kijana yakamfika shingani, akasema kisa na mkasa? Akaacha kazi. Sasa karibuni naambiwa mama baada ya kuchapa kinywaji aliropoka akasema jinsi alivyokuwa anampenda kijana hadi kuumia!
Kina dada niambieni, yaweza kuwa kweli?