father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 982
- 1,128
Shameful
sasa watatueje hilo tatizo......?
kina dada hebu toeni kitchen party kwa hawa wenzenu............................!Wafanye nini kuzuia hii kitu...................... maana vinachemsha balaa..............................!msitumie maneno makali............................wafundisheni kistaarabu ndo wataelewa..................................!
View attachment 45753View attachment 45754
sasa watatueje hilo tatizo......?
Preta, Lizzy, kama hawawezi kutumia antiperspirant deo (zipo hata za tsh 10 000) basi wavae nguo ambazo hazioneshi hizo traces, kama huyo alievaa saa ya kiume. It's somewhat disgusting.
Na wanaume wafundwe na nani?au vile picha zao hazijawekwa hapa?
nataka kusema kitu kuhusu kikwapa cha wanaume sema mtaniona alien bure.