Kina dada wa vyuo vikuu wajiuza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina dada wa vyuo vikuu wajiuza

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BUMIJA, Oct 29, 2012.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Source::::Oral Quesyionaire.:....Maelezo yanaonyesha vyuo vikuu baadhi hasa mlimani..:::Mc......Baadhi ya kana dada wanajiuza........Sasa sijui ni kua hela wanazopewa na wazazi au bodi hazitoshi?Na je unadhani ni kweli ama ni kuwachafua wasomi wetu........
   
 2. s

  sambu JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  sasa unalotaka ni lipi? Unatoa taarifa Unalolijua) au unataka kujulishwa? Maelezo kakupa nani? Humwamini? Ok jibu ni mimi sijui. So what next
   
 3. N

  Nzagamba Yapi Senior Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa na mimi ni mteja wao,nipo mza kama wiki sasa watoto wa saut wana agents kabisa unaletewa demu tayari bei imeshapangwa,nashindwa hata kuelewa tatizo ni sisi tunaowataka au ni tamaa ya pesa

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,182
  Likes Received: 10,534
  Trophy Points: 280
  Sasa unataka kujua nn kutoka kwetu? si unafanya research au sio?...Njoo hapa na result finding zako ndo tujadili..
   
 5. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ya kweli haya mkuu?ni PM no ya huyo dalali kafum, nikifika Mwanza nipate first class service
  nampango wa kwenda next week
   
 6. C

  Cha-phile Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah, ni kweli kuwa wanajiuza karibu vyuo vikuu vyote, mfano hapa saut mza wanaendaga kujiuza karibu na Villa hapo kuna 1st, 2nd na 3rd class inategemea na mshiko wako, mm stak kuumizwa kwa kusalitiwa so hapo naendaga najichagulia anayevutia kisha huyo naenda kujilia vyangu
   
 7. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ni kweli huwa tunanunua,customer care fast,reliable and quality kwani kuna ubaya basi wewe tu
   
 8. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,345
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Kimfaacho mtu ni chake mwenyewe.
   
 9. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Tujuze kama unataka kutengeneza Research propasal auQuestionnaire kwani hoja yako imekaa ki INTERVIEW kwa sana.
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo wewe unapaikua tu huwaulizi kulikoni? mbona unatuuliza siye maswali ulopaswa kuwauliza wateja wako?
   
 11. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hujaelweka jamaa unataka nini haswa au thread yako ina mantiki gani?
   
 12. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Ooooh nauliza mana sijaona kwa macho naambiwa tuu
   
 13. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Nataka kujua ni kweli ama wanapakaziwa
   
 14. S

  SirJoaz Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  ukweli ndo huo ila hebu jiulize we kama musomi mwenzao unasaidiaje hili make vyuo vyetu ndo tunakotegemea watalamu. sa ni mtalamu gani ambate life span yake kaipunguza hadi miaka 30 ataajiriwa miaka mingapi ili kulitumikia taifa hili????????.....
   
Loading...