Kina Dada wa JF kama mnajiamini...

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Posts
17,239
Reaction score
3,939
Kama kina dada wa JF mnajiamini wekeni picha zenu za ukweli na si kuparamia ma avatar ya warembo wa nje.

Nampongeza Mwali, ni yeye mwenyewe orijino na ni mrembo haswa, natural, hakuna mkorogo wala kujificha.

Utakuta miji-dada mingi humu haitazamiki kwa mkorogo na nywele za maiti.
 
Last edited by a moderator:
Moderator, rekebisha kichwa cha habari kiwe ...kama mnajiamini...

Ni typo tu.
 
Last edited by a moderator:
Dada yako humu kaweka sura yake?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

we mwenyewe hujiamini ndo maana ukaweka avatar ya mkuu wa nchi, hata tukiweka zetu original utasema sio kweli, waulize baadhi ya MMU member wakuambie jicho langu na mdomo wangu ukoje (sijisifii) nilishaweka hizo picha as my avatar
 
Tuweke ili iweje.........?
 
Inawezekana baadhi wameweka lakini hawajaamua kusema wao ndio!
 
we mwenyewe hujiamini ndo maana ukaweka avatar ya mkuu wa nchi, hata tukiweka zetu original utasema sio kweli, waulize baadhi ya MMU member wakuambie jicho langu na mdomo wangu ukoje (sijisifii) nilishaweka hizo picha as my avatar

Mimi sijiamini, wewe kama unajiamini weka ya ukweli, wacha kulalama.
 
zomba umekutatana nini huko?

Miaka mitatu nyuma nilibahatika kuwakuta watatu wamekaa wanaongelea JF, sikuamini, ilibaki nicheke nikijisemea "kumbe misongodinyo yenyewe ndio hii?". Inatisha!
 
ID Fake unataka sura original!wapi na wapi aliye na verified well an fine ila fake id with fake avatar thats matter,ndege wafananao huruka pamoja
 
"Poor mind" matatizo kweli kweli,,.....upeo wako wa fikra ndo umeishia hapo?? then tukishaweka whats for???? we are not here for sale or even for promo,,....watch out Zombiiiiiiie
 
Ya kwangu ni hii, ongea sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…