Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

Huyo aliomba LIFTI anataka kupiga na HONI dereva KAGOMA sasa ngoma iko hapo
:biggrin1:
 
Duniani kuna mengi sana yaani dunia ya leo kuna watu wana moyo na roho ngumu ..kisa cha kulazimisha ndo ni nini hasa..
Dalili za kuachwa zinaonekana hapo..simlaumu huyu kaka dada nae kama kweli ana nia ya kunywa sumu hebu anywe tu
 
Huyo aliomba LIFTI anataka kupiga na HONI dereva KAGOMA sasa ngoma iko hapo
:biggrin1:
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

long live mzee yusufu
 
Duniani kuna mengi sana yaani dunia ya leo kuna watu wana moyo na roho ngumu ..kisa cha kulazimisha ndo ni nini hasa..
Dalili za kuachwa zinaonekana hapo..simlaumu huyu kaka dada nae kama kweli ana nia ya kunywa sumu hebu anywe tu

atawahi!! wanaokunywa sumu hawasemi kwanza
 
yaani mie nikimuona mdada anang'ang'ania mtu kwa nguvu huwa cmuelewi kabisa, namuona hajiamini kabisa, yaani yupo yupo tu....na raha ya ndoa aitamke mwenyewe jamani.
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

long live mzee yusufu

LOL hivi jina lake limepitishwa YANGA (sory of topic afu wewe Simba kumbe)
 
May be the guy wanted to have fun while she was living a fantasy......many girls makes this kind of mistake by giving themselves easily to a guy and expect to be taken serious... it would be nice if men were different and didn't take sex so lightly.... Poor thing!!! now the best thing she can do is to take care of that baby and start focusing on things that are more important...its not the end of the world..ppl make mistakes...lakini ndio ajifundishe...

I remember when I was 16 yrs old My father told me to Steer clear from boys and their bull.shit, especially when it comes to "Love".. They'll only tell you what you want to hear in order for them to get what they want! A real man would do right by you, and for you!!!! see thats why I love that Man.......
 
yaani mie nikimuona mdada anang'ang'ania mtu kwa nguvu huwa cmuelewi kabisa, namuona hajiamini kabisa, yaani yupo yupo tu....na raha ya ndoa aitamke mwenyewe jamani.

trust me dearest hivyo ndivyo wanawake wanafanya siku hizi nimeona na bado naendelea kushuhudia.....tunaogopa sisi tupo wengi na mamen ni wachache sasa tunachofanya ni kucheza karata tatu ukibahatisha mwenye 'huruma' atakuoa........ukimkuta isaraeli kwisha habai yako!!! kazi tunayo
 
Enh nhe! Aliamua kukaa kimya akiamini jamaa hawezi kupindua kisa tayari jamaa kaweka mambo kimiani na Kid yuko duniani au vp? Kwanini aliamua kuwa kimya hadi miezi 7, je alidhani kumuweza Mlumendago ni kumbebea mimba? Mbona apenda dezo dezo binti huyo, elimu hijamkomboa? Haya ona sasa anang'ang'ania kuishi kwa jamaa, kwani ni lazima akae hapo hali jamaa alishasema bado wakti. NAMWONEA HURUMA NA HIVI ANA TRELA'

Maana wengi wetu walume ukishawarudisha watu kati mapema( concive and have baby) ile thamani huwa inashuka na hasa ikiwa MAN, mpango wake wa kuoa ulikuwa bado/mbali.

Si kitu cha kufurahia lakini kinadada mujifunze mambo haya mapema sio mnaachia tu then mnakuja kujuta.

''conceeding a late goal is a failure to the leading team but also scoring first may mean a fulfilment of team's dream''

'WASALAAM'
 
atawahi!! wanaokunywa sumu hawasemi kwanza

wakati humu ndani sasa hivi tukikoromeana namwambia baba tunabanana hapa hapa mpaka kieleweke, yeye anaambiwa ulinilazimisha mwenyewe kukuoa, yaani ili mradi watu wawe na ndoa, walio ndani wanataka kutoka walio nje wanaingia kwa spidi ya kurusha fatuma....nilikumiso dearest.
 
Huyo dada ana matatizo, kwa nini alitegea huyo rafiki wake wa kiume mimba kama nia ilikuwa nzuri au alibeba mimba hiyo bila yeye kujua - elimu ya juu bila sex education; kondomu aliona hazifai? Mhitimu wa elimu ya juu hawezi kushindwa kulea mtoto iwapo mama ntilie anaweza, labda alikuwa mtu wa kudesa tu. Huyo boyfirend wake yuko right kwani hakuwa tayari. Amwone Sophia Simba au TGNP au Analelia Nkya, Amandina Lihamba, Tibaijuka, Penina Mlama labda watamsaidia!!!
 
Kuna Vitu Vingine ni Vigumu Kumshauri Mtu! FL1 Statement yako iko hewani sana, mtu anashauriwa kutokana na Jambo analotaka kufanya/kutofanya sasa huyo bibie msimamo wake ni upi hasa maana hapa watu watatoa misimimo yao na si Ushauri
 
May be the guy wanted to have fun while she was living a fantasy......many girls makes this kind of mistake by giving themselves easily to a guy and expect to be taken serious... it would be nice if men were different and didn't take sex so lightly.... Poor thing!!! now the best thing she can do is to take care of that baby and start focusing on things that are more important...its not the end of the world..ppl make mistakes...lakini ndio ajifundishe...

I remember when I was 16 yrs old My father told me to Steer clear from boys and their bull.shit, especially when it comes to "Love".. They'll only tell you what you want to hear in order for them to get what they want! A real man would do right by you, and for you!!!! see thats why I love that Man.......

Noname mambo? Ngoja niitafute TUKI yangu nianze kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom