Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,373
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Siku moja Binti kamuweka kitako Boyfriend na kumueleza hisia zakekamili kama anampenda sana na anapenda awe mme na baba wa watoto wake ..Jamaa akamwambia kila kitu kina muda ,na muda ukifika wataongea na kupanga yote haya...
Binti kaamua kubeba ujauzito bila kumwambia jamaa ,kasubiri unafikisha 7 month ndo akasema kijana kamtunza bila tatizo mpaka binti kajifungua.
Cha kushangaza sasa Binti anataka kuhamia kwa mwanaume na mwanaume amegoma ..Binti anatishia kunywa sumu.....anashinda analia na mtoto ana miezi miwili
Wadau hii imekaaje?
 
Ni vyema ikala kwake kwa sababu hakushirikisha ubong. ingekuwa mimi huyo mwanaume ningemletea sumu ya panya kabisa ili anywe.
 
FL "kaonya asali huyo sasa anataka kuchonga mzinga", hayo ndio makosa makubwa wanayofanya wadada wetu, inabidi mumshauri kwa upole na busara kubwa uli aweze rejea katika hali yake ya kawaida, Na sisi wakaka jamani mbona tunauza timu mapea hivi? Kidogo tu kondom kule aaaah matokeo yake mimba au ngoma.Tujihadhali.
 
Hiyo imekaa poa. Jamaa avute kifaa kingine, bibie akija na tumbo lake apokelewe na vuvuzela!!
 
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Siku moja Binti kamuweka kitako Boyfriend na kumueleza hisia zakekamili kama anampenda sana na anapenda awe mme na baba wa watoto wake ..Jamaa akamwambia kila kitu kina muda ,na muda ukifika wataongea na kupanga yote haya...
Binti kaamua kubeba ujauzito bila kumwambia jamaa ,kasubiri unafikisha 7 month ndo akasema kijana kamtunza bila tatizo mpaka binti kajifungua.
Cha kushangaza sasa Binti anataka kuhamia kwa mwanaume na mwanaume amegoma ..Binti anatishia kunywa sumu.....anashinda analia na mtoto ana miezi miwili
Wadau hii imekaaje?
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Ndoa hupangwa na Mungu. Dadaa kaamua kutumia njia ya mkato kushinikiza kwa kutumia kigezo cha mimba na baadae mtoto kuwa ni kiunganishi jambo ambalo si kweli na ndiyo tabia iliyopo kwa baadhi ya wadada siku hizi. Ndoa kama ipo Mungu huweka baraka zake na kufanyika,hakuna shortcut. Hiyo imekula kwake,alee tu mtoto ikitokea jamaa akaamua kuhalalisha hiyo ni bahati kwake.
 
hii ndo shida kubwa sana, na ndo maana mi siku zote huwambia mashost zangu once ukiamua kubeba mimba na kukileta kiumbe ulimwenguni, be sure of what you are doing, jua ni wewe mama uliyebeba mimba miezi tisa na ukaingia labor kwa uchungu ndo utakayekuwa full responsible for that kid. wanaume si wa kuwaamini katika hili, na mbaya zaidi ndo kumtegeshea mtu bila kujua, ni tatizo kubwa sana. bora akae chini atulie ajipange kulea na kutunza mwanae with or without that guy. Hakuwa fare kwanza kwa kumtegeshea kaka a watu kisa anataka ndoa, hizi ndoa zinazotafutwa kwa nguvu namna unategemea nini hata akishakuoa akakuweka ndani just for the sake of the babby and not love? mwishowe ndo mwanaume anaanza kuku ignore ndani nyumba ndogo kibao, kisa hajakupenda ila tu anakutorelate kwa ajili ya mtoto, that is crazy ladies, crazy!
 
unajua,wadada siku hizi nafikiri njia ya kushika mimba wanaona kama ndio njia mbadala ya kulazimisha ndoa,huyo dada acha ile kwake amefanya makusudi na hiyo sumu ni danganya toto,Ila mkubwa umlee mwanao na usioe huyo binti sababu anatabia za kulazimisha mambo kwa manufaa yake binafsi
 
Ni vyema ikala kwake kwa sababu hakushirikisha ubong. ingekuwa mimi huyo mwanaume ningemletea sumu ya panya kabisa ili anywe.

hahaha Kwayu unafanya kampuni ya kutengeneza sumu ya panya??
 
FL wadada wengi hutumbukia kwenye hili. Wanasahau UBF si uchumba. BF sio mchumba hadi awe mchumba kwa taratibu za kawaida na ndio utakuwa na uhakika wa kuolewa . Wengine hufikiri mimba ni tiketi ya kuolewa kumbe ndio huharibu kabisaaa wakati mwingine .Kuna watu hawataki kufunga ndoa binti akiwa kwake kwa sababu za kimaadili .Familia nyingine zinaona kudhalilishwa na vitendo kama hivyo na hata wakifanikiwa kufanya hivyo baadae hureflet kwenye maisha ya ndoa. Sio ajabu wakingombana baadae jamaa amwambie kwanza wewe ulijileta tu hapa, kinganganizi, sucker etc kwa sababu ndivyo ilivyo.
 
FL1 hii issue ipo sana tunaona watu wakisuffer kwa ajili ya matatizo kama hayo, hii ni live story kuhusu binti mmoja tuko majirani, ameacha shule namanisha secondary school kahamia kwa jamaa kijana kajitahidi mno kumwambia binti arudi shule lakini kakataa sasa hivi ni mjamzito sometimes jamaa harudi nyumbani kabisa anamwacha binti ndani hata siku mbili mpaka tatu bila kuja nyumbani, sasa hivi binti anatafuta ushauri kwa watu afanyeje maana wazazi wabinti wameingilia kati lakini imeshindikana jamaa hajatangaza nia bado sasa sijui atafanyeje na mtoto yuko njiani.

Mabinti msijirahisishe kwa wanaume bila kujua msimamo wake mtu anakuonyesha live kwamba hakupendi unangangania nini kwa mtu asiyekupenda?
 
Hapo ndipo akili za dada zetu huwa zinatushangaza sana.
Sasa kabeba mimba ili aonyeshe kuwa anampenda sana au! dah poleni dada zetu.
Mpe pole huyo mdada tayari amesha kuwa used na thamani yake imesha shuka jamaa anamega kibinti kingine.
 
hii ndo shida kubwa sana, na ndo maana mi siku zote huwambia mashost zangu once ukiamua kubeba mimba na kukileta kiumbe ulimwenguni, be sure of what you are doing, jua ni wewe mama uliyebeba mimba miezi tisa na ukaingia labor kwa uchungu ndo utakayekuwa full responsible for that kid. wanaume si wa kuwaamini katika hili, na mbaya zaidi ndo kumtegeshea mtu bila kujua, ni tatizo kubwa sana. bora akae chini atulie ajipange kulea na kutunza mwanae with or without that guy. Hakuwa fare kwanza kwa kumtegeshea kaka a watu kisa anataka ndoa, hizi ndoa zinazotafutwa kwa nguvu namna unategemea nini hata akishakuoa akakuweka ndani just for the sake of the babby and not love? mwishowe ndo mwanaume anaanza kuku ignore ndani nyumba ndogo kibao, kisa hajakupenda ila tu anakutorelate kwa ajili ya mtoto, that is crazy ladies, crazy!

kula senks yangu.
 
Hu..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..

Mi nilifikiri mpenzi wake anatangaza NIA ya kugombea ubunge.
Hahahahahahaha kazi mnayo kwa kweli huyo dada inaonyesha anapenda sana kuolewa hata mm nikiingia kwa kutangaza NIA ya kumuoa nitapewa tu tender ya kukazia meno ya mtoto.
 
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Siku moja Binti kamuweka kitako Boyfriend na kumueleza hisia zakekamili kama anampenda sana na anapenda awe mme na baba wa watoto wake ..Jamaa akamwambia kila kitu kina muda ,na muda ukifika wataongea na kupanga yote haya...
Binti kaamua kubeba ujauzito bila kumwambia jamaa ,kasubiri unafikisha 7 month ndo akasema kijana kamtunza bila tatizo mpaka binti kajifungua.
Cha kushangaza sasa Binti anataka kuhamia kwa mwanaume na mwanaume amegoma ..Binti anatishia kunywa sumu.....anashinda analia na mtoto ana miezi miwili
Wadau hii imekaaje?

Bora kukaa kwenye kona ya dari ya numba kuliko kukaa na mke mgomvi...(asante kitabu kitakatifu,Biblia)!!!!!:pray:
 
Inawezekana kukawa na shinikizo kutoka mahali fulani,labda wazazi au mashoga zake. Au anatamani kuwa kama fulani kwa sababu ameshaolewa na anaishi maisha fulani... Pole zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom