Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina dada naomba mnijulishe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jul 18, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 27,980
  Likes Received: 6,849
  Trophy Points: 280
  Kwanini mna fake orgasm?
   
 2. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mh,,,,,,,.......
   
 3. chavka

  chavka Senior Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hujaeleweka vizur fafanua
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,729
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  mambo ya bujibuji,kama kawaida yake
   
 5. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,056
  Likes Received: 4,710
  Trophy Points: 280
  Nimekaa mkono wa kuume...nasikiliza majibu!
   
 6. charger

  charger JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,318
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ngoja tuendelee kuwasikiliza mkuu
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,698
  Likes Received: 3,585
  Trophy Points: 280
  ukiona hivyo umemchosha, humsugui vilivyo halafu mwenyewe hapo unajiona unajishughulisha haaaaswa ili ushuke anafake!! loh kazi kelikweli
   
 8. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  1. sababu nachoka tunataka uache we unaendelea tu, maybe nikija na wewe utakuja tu cease fire
  2. sababu sitaki ujiskie vibaya. kila tukimaliza unaniuliza was it nice? nasema yes alafu unauliza: mbona hukuja? basi inabidi nijifanya "as if"
  3. nilikuja kweli ila haifanani zile za uongo ukadhani hii ndio feki

  those are the most common reasons
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,818
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Wizi mtupu
   
 10. JS

  JS JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kuwafurahisha kina kaka......swali lingine....???
   
 11. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,829
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kuonyesha tu kipele kimekunika na muwasho umeisha ili hali ndo kwanza cha washa na mkunaji anakizunguka au kukiruka kabisa. Alafu akitoka hapo full kujishaua.
   
 12. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,151
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Nani amekwambia tuna fake? Usipende ku generalize Buji.
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,761
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Inafikia kipindi mtu unaamua tu mambo yaishe coz unaweza kukuta mambo yanazidi au hutaki mwenzako anaendelea/analazimisha tu, lakini pia sometimes utakuta mambo hakuna kabisaa.....so mtu unakuwa fake kwa muda!
   
 14. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu, the truth is kama mwanamke anakupenda kweli na anakuheshimu hawezi fake coz ni sawa na kukudanganya. na kama wewe unampenda kweli na unamjua vizuri utajua tu when she needs more of this or less of that...
  ila consider pia niliyo sema pale mwanzo, maana kama hakuna mapenzi mnado kwa performances hizo ni sabu kadhaa...
   
Loading...