Kina dada muwe makini na Foreigners


Wamedhamiria haswaa...wamechoka kuchunwa nao lol
 
Matapeli ni weng tu wabongo na wagen

Ivi inakuweje tugegedane afu hela zangu tna nikakope nikupe
Hii akili ya huyu Dada nadhan ndo mapenz nivuruge kumbe anajivuruga mwenyewe

You have not fall in love with handsome
 

Hahahah halafu wadada hawawaogopagi hawa wawesti sijui.kwa nini
 
Whether umekopa benki,umechukua uliyohongwa na mwenzie,umechota akiba yako....suala si linabaki palepale UMEMPA?

Ha ha akili tumepewa tunapenda kupokea kutoa hatutaki loo

Na kama alimpa hakuna haja ya kudai...ukimpa mtu kitu hutegemei kulipwa

Kama alimkopea ndo imekula kwake
Tujifunze jamani kuwa na misimamo na value zetu
 
Mungu hausiki na ujinga wa binadamu, amekupa vyote akili na ufahamu ukishindwa kuvitumia ni juu yako mwenyewe.

Aisee Matola kuna kughafirika....af kuna mazingira akili haiwezi hata kusoma mchezo maana mwenyewe anakuwa kajiandaa haswaa. Tukitulia kwa Mungu tutapona tu
 
Last edited by a moderator:

Somo zuri sana, bravoo
 
Ha ha akili tumepewa tunapenda kupokea kutoa hatutaki loo

Na kama alimpa hakuna haja ya kudai...ukimpa mtu kitu hutegemei kulipwa

Kama alimkopea ndo imekula kwake
Tujifunze jamani kuwa na misimamo na value zetu

Hapo ndo utatra.... Kama tulikubaliana anakopa nahakikisha analipa. Huduma zote zitasimamishwa mpaka alipe deni
 
Hii imenikumbusha kisa cha mdada mmoja (rip)

Alihonga pesa yake karibia yote ya mirathi

Mwanaume akafungua biashara na kuoa mwanamke mwingine

Very sad....






 
Mkuu sio Mimi # ichana# I swear never labda unigonge sindano ya usingiz achukue kwenye pochi au niwe unsound mind
Na akili timamu hii hupati mkuu

msimamo wako nimeupenda!
 
Cheza mbali na wapopo a.k.a Yahooyahoo.Wanigeria wametumwa hela usitake wawe hata marafiki tu achilia mbali awe mpenzi wako
 
Pole yake bidada kutapeliwa kuna kuja tu na hasa mdada kama age imeenda anataka ndoa ni shida mi nikaona mwanaume anataka hela hata senti simupi kwakweli
 
You have not fall in love with handsome

Ha ha ha uuupsi what's handsome
Siongozwi na hisia wala uzuri wake
Mungu kanijalia akili

Uzuri wake nitaula or? Ndo unifanye nimuhonge
Hapana...tunapenda maisha ya mteremko sana kupokea bila kutoa jasho
Huyu mdada alifikir kwa kuwa ni mnageria ana pesa kama za kwenye movie or
alikula vyake na kutolewa out cos alimwandalia mazingira kabisa siku ya siku kidume nae kala zake.
hukushtuka hat alipomwambia anaenda ulaya
Au ndo ndoto za alinacha anaenda kuandaa mazingira nami nimfuate nikimbie mkopo bila kulipa
 
Ulivyosema alitoka russia nimemhisi mmoja wao alitoka russia akapita hapa kwa lengo la kwenda U.K lakini alishindwa hiyo ilikuwa mwaka jana kama mwezi wa tatu.
Hivyo aliikaa hapa tz almost mwaka mzima...

Anaendesha gari gani? Maana jamaa alikuwa anaendesha gari la huyo demu, alikuwa anakaa KNyama. Ni mshkaji black ana kitambi tambi, yuko aged like 30-35.
 
we acha tuu, tena wasichana wanapenda sana wanaigeria wanawaza ile mipesa wanayoiona kwenye sinema ikichezewa chezewa

Uupsi umenichekesheje sinema zao full mipesa utafikir "billionaire club" na wale plus wakenya wana mavocal ya uongo usipokuwa makin mbona utajiona malkia
Tunapenda vya mteremko sie Duuuu
 
Hongera kwa hili kula maisha
Na tusitoe mianyaa ya kupokea pokea vyao..
Ukimkopea mpenz utakosa Uhuru wa kumdai bhana hat stareh ya kugegedana itapungua kisa hajakulipa hela


Mpenz wang wakwanza nakumbuka aliniazima buku 2 alikua kazn alsahau hela nyumban kwa madai yake...ebana ee nlivompa iyo buku 2 akazan msamaha wa rais umpepita kumbe mie nakumbuka vizur ck nakuja mdai acha ue ugomvi....aliirudisha buku2 yangu na tukaacha mpaka leo...
 

Shoga angu nimekupigia salutee....we noumerrr!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…