una hela ngapi? manake hadi paw anakubaliwa ujue yuko vizuri
Eh! hebu ngoja kwanza; Yani, ni kwamba wao ndo nawapa hela (kama wale kina dada pale sinza mori ama afrika sana)?
Mi nlidhani wana shida ya kusitiriwa....manake sasa hivi nimeshaivest kwenye kusitiri as wengi as posibo.
Ama ndo dalali fees?
Sasa wewe kusitiri unaelewa unasitiri nini?
Unawaza nanihii tu, muone kichwa kama owner wa escrow! Nyumba, chakula na mavazi ni sitara basics pia. Si unaelewa?:becky::becky:
Yu mean yua hazband wako huwa anaenda kuwapa 'Nyumba, chakula na mavazi' hao mastostito? Basi na mie waje tu nyumba yangu kubwa...Tutaishi wote, mavazi si lazima huko.
Dah halafu ukienda vitani na hiko kivazi mbona utaangamiza jeshi zima wewe? Si haki ukishika hiyo silaha uvae hivyo, kuna watu utawaonea bure
Huku bado nasubiri uniainishie gharama za dalali