Kimya kingi cha Katibu Mwenezi wa CCM

Kimya kingi cha Katibu Mwenezi wa CCM

Anasubiri msahau ile mada inayohusu elimu yake.! Ataibuka tuuu
 
Hahaha hahaha elimu ya nape ya kuunga unga kama shukuru bulongo
 
Anawaza itakuwaje ksma Lowasa atachukua nchi kwa kuwa alimbwabwajia mno na katika siku tisini zske na falsafa ya kujivua gamba.
 
Ataongea nini,kaingia choo cha mazombi.Kuibeba CCM kazi.!
 
Atawajibu kuwa yupo studio anarekodi mkanda wa mauaji
 
Katibu mwenezi wa CCM ana majukumu makubwa ya kuwatumikia watanzania na kufuatilia ilani ya uchaguzi ya CCM anakuja jamvini akiwa na nafasi lakini hana ulazima wa kufanya hivyo.
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Katibu mwenezi wa CCM ana majukumu makubwa ya kuwatumikia watanzania na kufuatilia ilani ya uchaguzi ya CCM anakuja jamvini akiwa na nafasi lakini hana ulazima wa kufanya hivyo.
Chama Gongo la mboto DSM
Majukumu yapi hayo? Iwapo yale majukumu ya kuvua wenzake magamba yalimshinda ana majukumu gani tena?
 
Ukiona hivyo ujue maji yako shingoni!

Maana kila mkakati wanaofanya msgamba, unabackfire!

Wameihusisha CDM na mlengo wa dini ya ukristo,mkakati huo umefeli,kwa kuwa magamba wamegundua CDM impinges mkono na mamilioni ya wafuasi wske,wakiwemo wa dini zote za midland,kikristo hadi wahindu!

Wakakihusicha Chadema kuwa chama cha kanda ya kaskazini,hasa uchagani,mpango huo pia umefeli vibaya sana,na ushahidi wa wazi ni mikutano ya hadhara ya hivi majuzi iliyofanyika kwenye miji ya Mwanza, Iringa na Mbeya, ilivyojaza maelfu ya watu,kuthibitisha wazi kuwa mpango huo nao umefeli!

Mkakati wa karibuni kabisa ni kukihusisha Chadema na ugaidi,mpango huo nao umebackfkre,kwani sasa hivi siyo siri tena,inafahamika na kila mmoja kuwa mabingwa wa kutoa kucha na meno kwa koleo bila ganzi ma wanaowatoboa macho raia wasio na hatia,ni magamba,wakishirikiana na vyombo vyao vya ulinzi ambavyo ni poliCCM na usalama wa chama cha majangili.

Katika mazingira kama hayo unategemea,huyo bingwa WA propaganda wa magamba atafumbua mdomo wake?

Ni dhahiri kuwa ana kila sababu ya kuamua kuwa bubu!!
 
Katibu mwenezi wa CCM ana majukumu makubwa ya kuwatumikia watanzania na kufuatilia ilani ya uchaguzi ya CCM anakuja jamvini akiwa na nafasi lakini hana ulazima wa kufanya hivyo.
Chama
Gongo la mboto DSM

hiyo ilani anaifuatilia wapi,mwezini?
 
Maccm hayo litatokea sasahivi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Watu bana...akiongea hawakosi la kusema na wanapatiamo headlines za kuanzisha threads.
Akinyamaza pia hawakosi la kusema...kwa mfano huyu mwenye uzi,kaanzisha uzi usio na tija wala logic.
 
hali ya mwandosya baba yake ni mbaya... ameenda kumuuguza baba yake aka nape mwandosya
 
Huyu jamaa hapatikani kwenye magazeti au kwenye mitandao, Nape where are you?

Alionekana anapiga marimba na magitaa pale Dodoma anamuimbia KIPENZI chake Dr Slaa...

Ziara ya Morogoro imemnyong'onyeza, amegundua yeye anapiga siasa wenzie wanapiga dili maana maana kuanzia Ulanga hadi Kilosa Jangili Kinana alikuwa busy na biashara yake ya meno ya Tembo na matokeo yake wakaangukia pua uchaguzi wa vijiji pale Ruaha
 
Back
Top Bottom