Kimya kinachouma

utavuka tu.....kila hatua dua
 
Wakati mwingine mtu anayekaa kimya si kwamba hana shida… anaweza kuwa anapigana vita ambayo hakuna anayoiwona.
Neno gumu sana hili
1. Washirikishe unaowaamini sana kwa ukaribu

2. Mkaribie MUNGU wako kwa imani yako na kwa uaminifu mkubwa.

3. jiamini, maisha ni safari ndefu sana, amini kuwa njia tunazopitia zina kona kali sana na mipando, haupo mwenyewe.

4. jitahd kumshirikisha babako au mamako changamoto unazopitia(hao ni vigumu kukuacha)
-mkeo anaweza kukuacha baada ya changamoto maana na yeye ana babake na dady yake.

5. jitahd kuchangamana na watu hasa kwenye ukumbi wa mpira, mabishano
-hii inaweza changamsha ubongo

6. epuka mawazo mabaya kama wizi, utapeli, kujinyonga etc

7. kama una watoto, kaa nao karibu sana hata kuliko mama yao.

8. jaribu kusamehe waliokukosea
-usione watu kama ndo chanzo cha matatizo yako.
 
NAOMBA MNISAIDIE TAFADHALI MWENYE NACHO NAOMBA TAFADHALI 🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…