mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
Huwajui vizuri Mbowe na Mtei wakiona pesa
Hao unaosema hela kwao ni kitu cha kawaida sana kwao utu ndio tunu wakiyojaaliwa una jipya wewe mkaanga sumu?
Huwajui vizuri Mbowe na Mtei wakiona pesa
Maneno yoote haya hala mumkaribishe Lowassa nitawadharau sana
na hasa wewe ukitumwa kuja kumtetea humu

Makene. hii ndo iwe kauli mbiu...."Wametanguliza Kufuli sisi tunakuja na Funguo"
Mkitoka kwenye huo ukimya wenu mkaja na fisadi kuwa ndo mgombea urais wa ukawa mtakuwa mmejiloga wenyewe. Endeleeni kukaa kimya lakini waleteeni watanzani mtu anayekubalika na kuaminika.
Mleta hoja hajafafanua bali kawasilisha hoja yake kwa lugha ya kuwapa hamasa na kuwatia moyo wafuasi wa ukawa katika kipindi hiki cha uchaguzi. Kwanini umekimbilia kwenye hoja ya Lowassa? Hajataja jina, lakini je ikiwa mgombea wa ukawa ni Lissu kwa mfano, hoja iliyowasilishwa itakuwa na mapungufu gani?
Tukirudi kwenye hoja yako juu ya Lowassa:
Ni wewe ambae umekuwa mmoja wa watetezi wakubwa wa msaliti Zitto.
Ni wewe, kama mmoja wa wafuasi wa zitto mmekuwa mkijenga sana hoja kwamba Chadema ikae chini na Zitto na ikubali kujiunga nae (ACT). Yani msaliti wa harakati za mageuzi, msaliti ambae rekodi ipo wazi kabisa jinsi gani alibeza umoja huu, eti ajiunge na UKAWA.
Ni wewe kama mmoja wa wafuasi wa Zitto, ulikaa kimya pale Zitto alipotafuta 'cheap popularity' kwa kutaja jina la lowassa na kulihusisha na ACT. Mlikaa kimya mkisubiri mshindo mkuu iwapo ndoto ya Zitto ingetimia.
Ukweli ulio dhahiri ni kwamba:
Kama Lowassa ataondoka CCM, hakika hawezi kwenda kujiunga na chama cha wasaliti cha ACT kwa sababu wananchi wengi wanazidi kuelewa jinsi gani chama hicho ni cha kitapeli, kuanzia hoja za kiongozi wake mkuu majukwaani hadi kwenye itikadi na maazimio ya chama hicho.
Ni dhahiri kwamba ndoto za Zitto hazitatimia kwa sababu Lowassa hawezi kufanya kosa la kujiunga na wasaliti wa watafuta mabadiliko.
Kwanini haukumjadili Lowassa na ACT kwa lugha hiyo pale zitto alipomkaribisha Lowassa ACT? Tofauti na Zitto, Tumaini Makene hajataja mgombea, lakini umekuwa mmoja wa wafuasi wa kwanza wa zitto kujadili "Lowassa".
Waachie wana ukawa wafanye maamuzi yao, watakaotoa hukumu ni wananchi, hasa wapiga kura, sio ACT na wafuasi wake waliopotea njia.
Leo ndio mnamuona fisadi?mbona hamjamfukuza uwanachama?
Kwa hiyo kumbe CHADEMA mlikuwa mnamhitaji MCHUKUENI
Post zako zote Lowassa alikuwa safi km angechaguliwa CCM sasa yupo kwenu, Lipumba CUF na Makufuli
haya ingizeni funguo km itaingia
Sasa tutamchukua na kingungeKwa hiyo kumbe CHADEMA mlikuwa mnamhitaji MCHUKUENI
Post zako zote Lowassa alikuwa safi km angechaguliwa CCM sasa yupo kwenu, Lipumba CUF na Makufuli
haya ingizeni funguo km itaingia
Mleta hoja hajafafanua bali kawasilisha hoja yake kwa lugha ya kuwapa hamasa na kuwatia moyo wafuasi wa ukawa katika kipindi hiki cha uchaguzi. Kwanini umekimbilia kwenye hoja ya Lowassa? Hajataja jina, lakini je ikiwa mgombea wa ukawa ni Lissu kwa mfano, hoja iliyowasilishwa itakuwa na mapungufu gani?
Tukirudi kwenye hoja yako juu ya Lowassa:
Ni wewe ambae umekuwa mmoja wa watetezi wakubwa wa msaliti Zitto.
Ni wewe, kama mmoja wa wafuasi wa zitto mmekuwa mkijenga sana hoja kwamba Chadema ikae chini na Zitto na ikubali kujiunga nae (ACT). Yani msaliti wa harakati za mageuzi, msaliti ambae rekodi ipo wazi kabisa jinsi gani alibeza umoja huu, eti ajiunge na UKAWA.
Ni wewe kama mmoja wa wafuasi wa Zitto, ulikaa kimya pale Zitto alipotafuta 'cheap popularity' kwa kutaja jina la lowassa na kulihusisha na ACT. Mlikaa kimya mkisubiri mshindo mkuu iwapo ndoto ya Zitto ingetimia.
Ukweli ulio dhahiri ni kwamba:
Kama Lowassa ataondoka CCM, hakika hawezi kwenda kujiunga na chama cha wasaliti cha ACT kwa sababu wananchi wengi wanazidi kuelewa jinsi gani chama hicho ni cha kitapeli, kuanzia hoja za kiongozi wake mkuu majukwaani hadi kwenye itikadi na maazimio ya chama hicho.
Ni dhahiri kwamba ndoto za Zitto hazitatimia kwa sababu Lowassa hawezi kufanya kosa la kujiunga na wasaliti wa watafuta mabadiliko.
Kwanini haukumjadili Lowassa na ACT kwa lugha hiyo pale zitto alipomkaribisha Lowassa ACT? Tofauti na Zitto, Tumaini Makene hajataja mgombea, lakini umekuwa mmoja wa wafuasi wa kwanza wa zitto kujadili "Lowassa".
Waachie wana ukawa wafanye maamuzi yao, watakaotoa hukumu ni wananchi, hasa wapiga kura, sio ACT na wafuasi wake waliopotea njia.
Hakuna jipya hata moja!Tumesha yazoea! Hata labda magufuli ahamie ukawa yenu kamwe hamuwezi kuchukua dola! Punguzeni kujifanya mnaakili kuliko prof Lipumba,hamuwezi kumlaghai yule msomi!
Shahiri fikirishi na uchambuzi uliobeba umakini na ufasahay wa ujumbe. Lakini bahati mbaya kwa wale ambao ni scarcit y minded wanaotafuta ushindi kwa hila na kwa faida ya yao na wenzi wao ujumbe huu ni kikwazo. Usikate tamaha na wale wanaobeza na wenye double standards mfano mtu mzima anadiriki kusema mimi ni mpinzani, siipendi CCM lakini kwa uamuzi huu nitampigia kura mgombea wa CCM. Sina tatizo na watu hawa ila nina tatizo na their 4 attributes of physical, mind, sprit and heart. Wachambuzi wa aina yako wanatakiwa katika kipindi hiki ili tuienzi falsafa na hitikadi na sio watuKimya Kimya kina mshindo mkuu, ndivyo wambavyo wavyele;
Makene
Maneno yoote haya hala mumkaribishe Lowassa nitawadharau sana
na hasa wewe ukitumwa kuja kumtetea humu
Huwajui vizuri Mbowe na Mtei wakiona pesa
Mkuu Wangu Makene kwa wale ma Mbumbumbu wa Mtaa wapili hapo wameangukia pakavu naumia