BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Siku hizi mwanaune akijikalia kimya(nuna) tunachukua jembe kwenda kupalilia bustanini.....
Hadi kununiana kwenye ndoa kulikoni? mie siwezi kukaa na dume ananuna maana sasa itakuwa kero tena, raha ya ndoa furaha daima.