Kimya cha Wizara ya Mambo ya nchi za nje & Ubalozi wetu Qatar tukitafsiri vipi?

POST TRUTH

Senior Member
Nov 18, 2016
104
146
Kituo cha televisheni kinaelezea kuwa kuwa uwezekano mkubwa kuwa nchi ya Qatar ikapinduliwa na akina Saudi Arabia, UAE na Misri ambazo zimefunga mipaka yao na pia kuzuia ndege za Qatar kupita kwenye anga zao (tazama picha hapo chini) na hii imepelekea Qatar kutumia anga ya Iran

Pia kutokana na uhaba wa chakula Qatar kuna uwezekano kukatokea vurugu ambavyo waataoathirika ni wageni na watanzania wanaofanya kazi huko.

Sasa kwa nini mpaka sasa hivi hakuna taarifa yoyote ile toka wizara ya mambo ya nchi za nje na Ubalozi wetu uliopo Qatar kuhusu hali iliopo Qatar na wa Tanzania waliopo huko watasaidiwaje?

Nchi zingine za Africa zishaanza mipango ya kuwaondoa raia wao toka Qatar sisi huku kwetu tumekuwa kimya...Kimya toka Ikulu, Wizara ya nchi za Nje, Ubalozi wetu Qatar na idara zinginezo.

Pia najiuliza hivi tushafanya jitihada zipi kujua mahusiano ya Kijeshi, kiplomasia, kibiashara na ki jamii tuliyonayo na Qatar yataathirika vipi kama Serikali yao ikipinduliwa?

Hiki kimya toka kwa hawa watawala wetu tukitafsiri vipi?

DBon0V5XUAAHWxv.jpg
DBnm3pDWsAEPLQX.jpg

DBnm3pDWsAEPLQX.jpg
 
Nani kakudanganya kuwa Qatar kuna uhaba wa chakula??? Nchi inayoongoza kwa GDP duniani inaanzaje kuwa na food shortage?
Mkuu hujui kuna siege??? Ssa kma imezungukwa na nchi za kiarab maadui kwenye mipaka yote na anga limefungwa hicho chakula kitasustain mpaka lini??? Supply mpya zitapitia wapi???
 
Walichokifanya watu ni kujaza stock ya vyakula nyumbani mwao kama tahadhari but hawajafikia huku mnakomaanisha nyinyi

OIC nao wamejiunga na Saudia...

DBlYRi_W0AI4b1Y.jpg

The Organization of Islamic Cooperation has expressed its full support over several countries’ decision to sever ties with Qatar over Doha’s policies on extremism and terrorist financing.

The OIC pointed out that the action came in accordance with “legitimate, legal and logical requirements for practices that target the security and stability of States”.

The General Secretariat of the OIC said that it has been following closely the current developments in the Gulf region, namely the severance of diplomatic relations with Qatar by a number of OIC Member States following information and evidence of hostile acts emanating from Qatar.

The General Secretariat called upon the State of Qatar to honor its previous commitments and agreements signed within the Gulf Cooperation Council (GCC), particularly with regard to ceasing support for terrorist groups and their activities and ending media incitement.

The General Secretariat also underscored the need for all member states, including Qatar, to “adhere to the principles of the OIC Charter, which calls for adhering to the policy of good neighborliness, respect for the sovereignty, independence and territorial integrity of Member States, and non-interference in their domestic affairs,” according to a statement on their official website.

http://english.alarabiya.net/en/fea...ws-support-over-severing-ties-with-Qatar.html
 
Watu wengi (wajinga) wanasema kuwa Qatar haitaathirika
Mara wana GDP kubwa duniani
Qatar ataumia sana, wanamuweka mtu kati hao kina Turkey wanataka kutuliza ila Trump anawasapoti Saudi na ndio ulikua mpango
 
Sasa USA si ana jeshi kubwa Qatar nae analitoa huko ama inakuaje?..Likibaki na Qatar akasustain atakachopitia wanafiki mtamkoma!!..
 
Watu wengi (wajinga) wanasema kuwa Qatar haitaathirika
Mara wana GDP kubwa duniani
Qatar ataumia sana, wanamuweka mtu kati hao kina Turkey wanataka kutuliza ila Trump anawasapoti Saudi na ndio ulikua mpango
Baada ya kuvuruga nchi za kiarabu Africa sasa wamehamia Mashariki ya kati kwenye uarabu zaidi na watavurugwa sana
 
Kituo cha televisheni kinaelezea kuwa kuwa uwezekano mkubwa kuwa nchi ya Qatar ikapinduliwa na akina Saudi Arabia, UAE na Misri ambazo zimefunga mipaka yao na pia kuzuia ndege za Qatar kupita kwenye anga zao (tazama picha hapo chini) na hii imepelekea Qatar kutumia anga ya Iran

Pia kutokana na uhaba wa chakula Qatar kuna uwezekano kukatokea vurugu ambavyo waataoathirika ni wageni na watanzania wanaofanya kazi huko.

Sasa kwa nini mpaka sasa hivi hakuna taarifa yoyote ile toka wizara ya mambo ya nchi za nje na Ubalozi wetu uliopo Qatar kuhusu hali iliopo Qatar na wa Tanzania waliopo huko watasaidiwaje?

Nchi zingine za Africa zishaanza mipango ya kuwaondoa raia wao toka Qatar sisi huku kwetu tumekuwa kimya...Kimya toka Ikulu, Wizara ya nchi za Nje, Ubalozi wetu Qatar na idara zinginezo.

Pia najiuliza hivi tushafanya jitihada zipi kujua mahusiano ya Kijeshi, kiplomasia, kibiashara na ki jamii tuliyonayo na Qatar yataathirika vipi kama Serikali yao ikipinduliwa?

Hiki kimya toka kwa hawa watawala wetu tukitafsiri vipi?

View attachment 520387 View attachment 520382

View attachment 520382
Wacha kutunga story kijana hii ni jamii forum sio gazeti la uzushi. nani aliekuambia kuna uhaba wa chakula na nani mwengine aliekuambia anataka kuvamiwa. Yaani mnakaa hamuna kazi na MB zenu mnatunga story.
na kwa maelezo yako hujui hata kinachoendelea.
 
Mkuu hujui kuna siege??? Ssa kma imezungukwa na nchi za kiarab maadui kwenye mipaka yote na anga limefungwa hicho chakula kitasustain mpaka lini??? Supply mpya zitapitia wapi???
nani aliekuambia kuna siege? kama anga analazimika kuzunguka around the gulf badala ya kupita anga ya saudia kuja huku africa, na hii leo ndege ya QATAR imefika bongo na kuondoka. bandari anayo, fedha wanzao kwa wao kubadilisha njia ya kuingiza bidha sio tatizo.
mnaonekana nyinyi vijana vichwa vyenu vipo closed
 
Back
Top Bottom