Pamoja na uchambuzi murua toka kwa ndugu yangu Yericko nyerere mi ninaamini ktk maisha ya wanaccm hawajawahi kukutana na upinzani kama wa chadema,wameshindwa kulaghai top leaders wa chama,wamejikuta wanavuliwa nguo kila uchwao na hadi kuanza kupick presidential materials ktk chama,wanajaribu kumchokoza mh.mbowe kwa kuwa wanamfaham zaidi hasa ktk pilika zake za kimaisha,lakini wanasahau pamoja na kuwa na dr.slaa as presidential material lakini wapo wengine,anyways mzee sitta ni mtu wa kumsamehe bure kwakuwa stress za mwaka 2010 kwenye kugombea u-spika zilimchanganya sana mpaka akaishia kuhongwa uwaziri,yeye kwasasa anaishi kwa fadhila ktk chama chake vinginevyo kama yeye mpenda haki basi angalikataa uwaziri.labda siyo vizuri kuwasema wazee lakini ajue ukweli unabaki kuwa ukweli hata kama umezungumzwa na mdogo.ila aache uchumia tumbo kama kweli yeye ni mzalendo kwa nchi hii.
Sita hakuzaliwa awe Spika maisha yake yote! Mzee Sita amekomaa kisiasa na hana uroho wa madaraka ndo maana kaukubali Uwaziri! na hakika Slaa akiondolewa Ukatibu Mkuu wa Cdm huenda akarudisha kadi!