Gajungi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 257
- 83
Wakuu habari za weekend.Ninaomba msaada wenu wa mawazo hapa.
Kuna kimwana nafukuzia,alifikia hatua ya kunikubali lakini baadaye mawasiliano yalianza kusumbua na tulikosana but nilifanikiwa kumrudisha. Lakini wakati huo things have never been the same again.
Kwa analysis yangu kuna matatizo yafuatayo:
1.Alishawahi kuumizwa so anaogopa kujicommit tena.
2.Anafikiri yeye ni low status kuliko mimi kwa hiyo haamini kama ni kweli ninachomwambia.
3.Ni muoga sana,mpaka akuambie kitu basi ni lazima usugue
Kwa sababu hizi anasuasua sana kwenye mawasiliano lakini sometime anakuwa fresh lakini baadaye anakuwa na mapozi.
Kwa kuwa naamini hapa kuna watu wenye uzoefu na busara naomba mnipe mawazo yenu.
Shukrani.