Kimwana hajiamini

Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
83
Wakuu habari za weekend.Ninaomba msaada wenu wa mawazo hapa.

Kuna kimwana nafukuzia,alifikia hatua ya kunikubali lakini baadaye mawasiliano yalianza kusumbua na tulikosana but nilifanikiwa kumrudisha. Lakini wakati huo things have never been the same again.

Kwa analysis yangu kuna matatizo yafuatayo:

1.Alishawahi kuumizwa so anaogopa kujicommit tena.

2.Anafikiri yeye ni low status kuliko mimi kwa hiyo haamini kama ni kweli ninachomwambia.

3.Ni muoga sana,mpaka akuambie kitu basi ni lazima usugue
Kwa sababu hizi anasuasua sana kwenye mawasiliano lakini sometime anakuwa fresh lakini baadaye anakuwa na mapozi.

Kwa kuwa naamini hapa kuna watu wenye uzoefu na busara naomba mnipe mawazo yenu.

Shukrani.
 
hapo zinahitajika jitihada binafsi..mambo ka hayo mi siyawezi!

Ahsante Jigo
 
Kama mlishawahi kuwa pamoja na mkapotezana alafu ukamrudisha lakini vitu havijawa kama zamani. Inawezekana sababu zote anazokupa siyo za kweli, inawezekana ana mtu mwingine. Labda kuna penzi jipya kashalianzisha. Chunguza, tafakari, chukua hatua.
 
Mkuu hayo yote hajaniambie yy,,,nimeyajua tu kwa kuongea naye.
Asante kwa mawazo yako.
 
Wakuu habari za weekend.

Ninaomba msaada wenu wa mawazo hapa.

Kuna kimwana nafukuzia,,,,,,alifikia hatua ya kunikubali lakini baadaye mawasiliano yalianza kusumbua na tulikosana but nilifanikiwa kumrudisha. Lakini wakati huo things have never been the same again.

Kwa analysis yangu kuna matatizo yafuatayo.
1.Alishawahi kuumizwa so anaogopa kujicommit tena.
2.Anafikiri yy ni low status kuliko mimi kwa hyo haamini kama ni kweli ninachomwambia.
3.Ni muoga sana,mpaka akuambie kitu basi ni lazima usugue
Kwa sababu hizi anasuasua sana kwenye mawasiliano lakini sometime anakuwa fresh lakini baadaye anakuwa na mapozi.

Kwa kuwa naamini hapa kuna watu wenye uzoefu na busara naomba mnipe mawazo yenu.

Shukrani.

Tafuta Ngoma ya Adelle inaitwa one only.....sikiliza itakupa hints, but unalotakiwa hapa ni ku prove urself kuwa upo tofauti na other guys..meeting za mara kwa mara muhim kumbadilisha.
 
Tafuta Ngoma ya Adelle inaitwa one only.....sikiliza itakupa hints, but unalotakiwa hapa ni ku prove urself kuwa upo tofauti na other guys..meeting za mara kwa mara muhim kumbadilisha.

Asante kaka,so far ninatuma msg zinazosaidia kumbadilisha na leo aliniuliza kuna kitu haelewi .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom