Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,889
- 287,968
Kungekuwa na Uchaguzi huru huyu angekimbia Jukwaa la KampeniHasira haisaidii kwenye kuambiwa ukweli.Wanaomfanya a-panic na wao wanajikuta tu wametamka bila shuruti.It(grudge )catches them without their awareness.Atulize boli.
NB;The last time I checked,the narrations told me that,wenye asili ya pwani,are the most tolerant beings.Nashangaa yeye amepatwa na nini!
Noma sana!Mola atujaalie pumzi tuendelee kuona hivyo vibweka.Mashaallah=Maisha-raha!Kungekuwa na Uchaguzi huru huyu angekimbia Jukwaa la Kampeni
Wivu wakiona watu wa caliber moja wanafokeana?Inachekesha.Chadema mna wivu sana
Kiongozi bora hawi hivyoAna hasiraaa?
Ziara imefana sanaUkiona kwenye Jukwaa moja kumetokea vurumai ya maneno, huko ndio kuvurugika kwenyewe.
Kwa hali ilivyo usishangae hata kuliko baki ikaahirishwa
View attachment 3373153
Hiyo barua pale juu umesoma?Ziara imefana sana
Mkibisha mnakatwa kwenye "pekeji" zenu za mwisho wa mwezi.Bado na mwenge uchangiwe tena kwa barua za vitisho
Kichwa ameking'oa,kipo mfukoni.Kuelewa ni unusu kasarobo.Hiyo barua pale juu umesoma?
Hakuna mfanyabiashara mjinga...hizi gharama tunalipa Sisi wapiga Kura,Ukiona kwenye Jukwaa moja kumetokea vurumai ya maneno, huko ndio kuvurugika kwenyewe.
Kwa hali ilivyo usishangae hata kuliko baki ikaahirishwa
View attachment 3373153
Kunakaribia kupambazukaUkiona kwenye Jukwaa moja kumetokea vurumai ya maneno, huko ndio kuvurugika kwenyewe.
Kwa hali ilivyo usishangae hata kuliko baki ikaahirishwa
View attachment 3373153
HakikaKunakaribia kupambazuka