Kimetokea nini Tanzania Daima?

Kimetokea nini Tanzania Daima?

Du!kweli mkuki kwa nguruwe; kwa binadamu mchungu!vipi unahoji Tanzania Daima pekee?je uhuru,mtanzania,rai haya yanaandika habari ambazo hazifungamani na upande wowote?
Huna hoja ya msingi!
 
Du!kweli mkuki kwa nguruwe; kwa binadamu mchungu!vipi unahoji Tanzania Daima pekee?je uhuru,mtanzania,rai haya yanaandika habari ambazo hazifungamani na upande wowote?
Huna hoja ya msingi!

Nilihoji with a purpodse ya hizi replies.La msingi hapa ni kwamba je,tukubali rasmi kwamba kila chombo cha habari kifanye kile ambacho kikundi kinachokiongoza kinataka au?:confused2:
 
Ukitaka habari nzuri za Chadema soma Tanzania Daima na Mwanahalisi na ukitaka kuzijua weakness zao Soma Rai, Habari Leo na Mtanzania na kinyume chake kwa CCM, ukitaka news ambazo ziko balanced soma Mwananchi.

You are right buddy!!!! Au Habari leo, Uhuru, Mzalendo au yale yote ya Rostam hayauziki sasa mnataka kuyarudisha sokoni!!!
 
Nilihoji with a purpodse ya hizi replies.La msingi hapa ni kwamba je,tukubali rasmi kwamba kila chombo cha habari kifanye kile ambacho kikundi kinachokiongoza kinataka au?:confused2:

Ndicho kinachofanyika sasa na sad enough hata yale mnayoyaita ya ""uma"" jifanye huyajui?
 
Vyombo vya habari zimeshajipambanua kiasi kwamba watu wenye akili wameshaacha kusoma baadhi ya magazeti, kama vile ya Habari Corporation na yale ya serikali (HabariLeo na Daily News). Haya yamepewa maelekezo ya kuandika kila kitu negative kuhusu Dr SLAA na Chadema, lakini wanapaswa kuipamba CCM na vyama vingine pandikizi vya mafisadi. Ni tofauti kabisa ukisoma magazeti mengine kama Tanzania Daima na Mwananchi ambayo huandika bila bias. Ni wazi kabisa Tanzania Daima linalomilikiwa na mwana-Chadema litazipa zaidi kipaumbele habari za Chadema wakati huu wa kampeni, lakini pia huandika ukweli kuhusu CCM na ahadi za mgombea wake. Lakini hayo magazeti ya Habari Corporation na Daily News/HabariLeo yanatumika kumchafua Dr Slaa na Chadema na kupindisha kila wanachosema kionekane kibaya. This is not professionalism! Siamini kama wahariri wake ni mbumbumbu kiasi cha kutoelewa kwamba wanapotoka. No wonder mauzo ya magazeti haya yamepungua sana kiasi cha kampuni kama Habari Corporation kushindwa hata kulipa mishahara ya wafanyakazi kwa miezi mitatu, huku mhariri wake mkuu akila kuku kama kiongozi wa kampeni za chama cha mafisadi kwa upande wa habari. This is incredible! Ndio maana katika nchi fulani fulani vyombo vya habari vya aina hii vilichangia kwa kiasi kikubwa kuleta machafuko kwenye nchi. Maelekezo ya kuwapotosha watanzania, yametolewa na viongozi wa chama cha mafisadi, yametolewa pia kwa TV stations kama TBC na Channel 10. Wote mnajua kinachoendelea huko, ni KICHEFUCHEFU!
 
Umetumwa na sheikh yahaya mganga na mchawi wa ccm na kikwete?..........au umetumwa na mafisadi kwa msaada wa kulindwa na kikwete?..............wana ccm wenzako walishabadili tabia,wewe bado upo gizani?
mbona wanazipa uzito habari za chadema peke yake???au ndo mvutia kamba???kama ni hivi na tusimlaume mtu si ndio?
 
kawaulize habari leo kwanini wamegeuza gazeti la serikali kuwa udaku.
 
Back
Top Bottom