Mundali
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 749
- 164
Tatizo lako Ngwendu hutofautishi kusifia na kueleza ukweli. Mwandishi akisema mbunge fulani wa chadema kasimamia udanganyifu wa sheria iliyopitishwa bungeni, na kuchakachuliwa baadae (mfano sheria ya gharama za uchaguzi) anaifagilia chadema? Ama suala wa wizi wa fedha za uma likishikiwa bango ni kuisifia chadema? Pamoja na ushabiki tuwapime viongozi kwa matendo yao. Mliozoea kidumu chama huwa mawazo yenu hayabadiliki. Ni mpaka wawachukulieni wake zenu ndio mtawaona hawafai. Ipo siku mtaahidiwa kujengewa kituo cha kwenda mwezini Singida, na mlivyo mazuzu mtakubali.
Tanzania Daima ni kwa watanzania wapenda maendeleo, Uhuru, Mzalendo, Habari leo, TBC na vyombo vyote mamluki ni kwa ajili ya propaganda za kinyonyaji.
Tanzania Daima ni kwa watanzania wapenda maendeleo, Uhuru, Mzalendo, Habari leo, TBC na vyombo vyote mamluki ni kwa ajili ya propaganda za kinyonyaji.