Kimetokea nini Tanzania Daima?


That means wako biased na wanapindisha maadili ya uandishi wa habari.Sasa mbona bado maadili hayo hayo yakikiukwa na vyombo vingine vya habari wanalia?????
 
Ukitaka habari nzuri za Chadema soma Tanzania Daima na Mwanahalisi na ukitaka kuzijua weakness zao Soma Rai, Habari Leo na Mtanzania na kinyume chake kwa CCM, ukitaka news ambazo ziko balanced soma Mwananchi.

hapa umenena!
 
Vilevile usisahau kumsikiliza rais akitoa salamu

 
Last edited by a moderator:
Mbona wanazipa uzito habari za Chadema peke yake???Au ndo mvutia kamba???Kama ni hivi na tusimlaume mtu si ndio?

Kumetokea nini TBC1 Taarifa ya Habari? hiyo ni sehemu moja tu.....Mobona habari za Raisi Slaa hazisomwi??
 
Sikutegemea gazeti kama Tanzania Daima lingekubali kutumiwa na fisadi Makongoro Mahanga katika jitihada zake za kurudi mjengoni; nadhani kuna mwandishi mmoja hapo Tanzania Daima [ Irene Mark] yuko kwenye payroll ya huyu fisadi !!Nategemea kuwa mhariri mkuu atathibiti hali ya hawa mafisadi kumia gazeti hilo kwa kampeni zao; waache waende kwenye mafisadi wenzao magazeti ya habari Corp.!!
 

Inabidi nirudie kuangalia the Godfather.
 
Hatulalamiki gazeti la UHURU kuandika habari za CCM tupu. let alone Tanzania Daima.
Tuongelee nipase, rai, guardian, dailnews, habarileo ET all.

Uko biased sana mkuu wangu Tandale (airforce) One
 
Hatulalamiki gazeti la UHURU kuandika habari za CCM tupu. let alone Tanzania Daima.
Tuongelee nipase, rai, guardian, dailnews, habarileo ET all.

Uko biased sana mkuu wangu Tandale (airforce) One

Speak out brother.Hili jamvi ni la kuongea kwa uwazi kabisa.Toa kero yako.
 
Kuna vitu watchangiaji tunachangia kwa ushabiki uliopitiliza, kwa hakika kgazeti la Tz Daima limekuwa likiandika habari bila upendeleo mkubwa. huwezi kukosa habari za wagombea wengine na hata Kikwete wakiandikwa katika mwelekeo chanya. tazama gazeti kama Habari Leo na Daily News haya waharirir na waandishi wake wamekuwa mazuzu kwa kutoona zuri katika kampeni za Dr Slaa, ona wanachoripoti, ni upuuzi wanaouita uchunguzi, haiwezekani mara zote waandike hasi kwa dr slaa huku Kikwete hata akiahidi kuifanya kigoma isyo na umeme wa uhakika kuwa Dubai inapewa wino mweusi na kuchafua gazeti.

Mwanachi linabaki kuwa ni gazeti makini kwa hakika na diyo maana ccm hawalipendi ila wanalinunua. hawa wanaandika na kufuata misingi ya ueledi. Achana na magazeti ya kina rwyemamu na wasaka maslahi wengine hata wale waliojazana tbc jambo.

Tz Daima wanaandika kiumakini na huwezi kuwanlinganisha na Uhuru, Mtanzania na dada zake Habari ele
 

Kwani magazeti ya uchunguzi Tanzania yapo siku hizi?Jana nimesoma pumba za utafiti kwenye gazeti moja la Kiingereze la kila siku.
 
Mbona wanazipa uzito habari za Chadema peke yake???Au ndo mvutia kamba???Kama ni hivi na tusimlaume mtu si ndio?

Ha ha ha TandaleOne, na huko magazeti ya serikali/waannchi mbona nako bias kabisa husemi? Tena na zile TV stations za akina yahe mangi, TBC1 yao, etc, ukiachilia magazeti ya Mangi na Habari Corporation? Kila mwamba ngozi huvutia kwake!!! Ila tulitegemea vyombo vya habari vya serikali vipo kwa ajili ya kila mwananchi regardless ya chama, sasa kwa nini vimekuwa ni mali ya thithiem na hujahoji hilo?
 
So what's the conclusion about all these?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…