Issue ya kustaafu havihusiani na kufungua tawi huko Chato, kustaafu kupo tu hata angekuwa na tawi moja Dar nchi nzima.Kimei nuksi alimwanza alipofungua lile tawi la CRDB huko kwa Tanzania one.
Kilichofuata ni kimei kutangaza kustaafu.
Huo uwaziri pia siyo rahisi maana huko kwetu alishaapa kututosa.
Haswa pale kwa Dr. Mpango ndio sub anayestahili.Huyo ni super sub!
Prof Kitila, Dr Mpango wakiboronga tu hizo wizara, huyo ndiye option.
Kwani Kimei ndio mbunge pekeee aliezaliwa na uwaziri kupita wengine? Wakati Kimei anagombea ubunge alikuwa anagombea na uwaziri pia? Mbona wapinzani kwa sasa mumevurugwa?Huyu alitumikishwa kununua wasaliti kwa hela za CRDB akidhani atathaminiwa, nadhani sasa ameiona rangi halisi ya CCM, shetani hana rafiki
Anahitaji muda wajameni.Sasa wabunge nizaidi ya 390 nafasi za uwaziri 26, we we unataka wrote wawemawazirii?? Kumbuka kwamba, si kila aliechaguliwa kuwa waziri ni bora kupita wabunge wengine. Na wala sikwamba walioachwa kwamba hawewezi kuwa mawaziriii. Hata kwenye timu, wapowachezaji wazuri wanawekwaga SUB ilikujiandaa kupokea mchezaji atakaye choka. Huwezi chezesha wachezaji wote kwa wakati mumoja. Kama kimei asipokuwa waziri atatoa mchango wake bungenii. Kikubwa tuu wachochee gurudumu la maendeleo
Itakuwa vetting, vi skendo kibao vya yeye labdaSalaam mwenu wadau!
Wengi tuliamini kutokana na zile sifa alizokapataga Dkt. Kimei siku inafunguliwa CRDB tawi la Chato huko mkoani Geita bas hakika Dr. Kimei angeula kwenye baraza la Mawaziri la huyu mzee!
Nafikiri ata kwenda kugombea ubunge huko Vunjo, Kimei alijua lazima ataingia kwenye Baraza la Mawaziri lakini siku zimepita na Baraza limetangazwa lakini Charles hayupo!
Nini kimepelekea? Hakuwa hakuwa anamjua vyema kipindi kile now ndo kamjua vizuri au?
Upimwe akiliAnahitaji muda wajameni.
Pindi atakapoyajua mapambio vizuri, pamoja na wakati (muafaka) wa kuyaimba huku akijigalagaza miguuni pa mungu wa burigi kama akina Propesa wa Jalalani, mambo yatakuwa MSWANO kwake.
Angalia akina Jenista/Ummy hawakauki humo?
Yuko kwenye reserve, aendelee kupiga Jalamba. Wengi wameachwa: Msukuma, Lusinde nk nk awe mpole tu.Muda bado, ndio kwanza tumeanza, lakini Watanzania ni wengi sana wenye sifa.