Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 3,992
- 6,290
Nasikia Magufuli ndiye aliyemshawishi kugombea Ubunge. Kuna fadhila Magufuli alitaka kulipa kwa huyu Mheshimiwa na ndiyo maana mtoa mada kaja na huu uzi.Uchaguzi wenyewe hakushinda ila alitangazwa tu kwa amri ya yesu. Hivyo hata asipopewa uwaziri ni sawa tu maana hata ubunge ni wa kuteuliwa. Ila ni bonge la aibu, mtu uko above 60, umeshakamata wadhifa mkubwa kwenye taasisi ya fedha, kisha muda wako wa kupumzika unakwenda kukaa mahali unagombania kuuliza maswali ya nyongeza yasiyokuwa na kichwa wala miguu.