Kimetokea nini mpaka Dkt. Charles Kimei kuachwa kwenye Baraza la Mawaziri?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
2,718
2,000
Salaam mwenu wadau!

Wengi tuliamini kutokana na zile sifa alizokapataga Dkt. Kimei siku inafunguliwa CRDB tawi la Chato huko mkoani Geita basi hakika Dr. Kimei angeula kwenye baraza la Mawaziri la huyu mzee!

Nafikiri hata kwenda kugombea ubunge huko Vunjo, Kimei alijua lazima ataingia kwenye Baraza la Mawaziri lakini siku zimepita na Baraza limetangazwa lakini Charles hayupo!

Nini kimepelekea? Hakuwa anamjua vyema kipindi kile now ndo kamjua vizuri au?

Kimei.jpg
 

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
2,718
2,000
Kimei nuksi alimwanza alipofungua lile tawi la CRDB huko kwa Tanzania one.

Kilichofuata ni kimei kutangaza kustaafu.

Huo uwaziri pia siyo rahisi maana huko kwetu alishaapa kututosa.
Issue ya kustaafu havihusiani na kufungua tawi huko Chato, kustaafu kupo tu hata angekuwa na tawi moja Dar nchi nzima.
 

Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
1,470
2,000
Sasa wabunge ni zaidi ya 390 nafasi za uwaziri 26, wewe unataka wote wawe mawaziri? Kumbuka kwamba, si kila aliechaguliwa kuwa waziri ni bora kupita wabunge wengine.

Na wala si kwamba walioachwa kwamba hawewezi kuwa mawaziri. Hata kwenye timu, wapo wachezaji wazuri wanawekwaga SUB ili kujiandaa kupokea mchezaji atakaye choka.

Huwezi chezesha wachezaji wote kwa wakati mumoja. Kama Kimei asipokuwa waziri atatoa mchango wake bungeni. Kikubwa tuu wachochee gurudumu la maendeleo.
 

ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
10,016
2,000
Sasa wabunge nizaidi ya 390 nafasi za uwaziri 26, we we unataka wrote wawemawazirii?? Kumbuka kwamba, si kila aliechaguliwa kuwa waziri ni bora kupita wabunge wengine. Na wala sikwamba walioachwa kwamba hawewezi kuwa mawaziriii. Hata kwenye timu, wapowachezaji wazuri wanawekwaga SUB ilikujiandaa kupokea mchezaji atakaye choka. Huwezi chezesha wachezaji wote kwa wakati mumoja. Kama kimei asipokuwa waziri atatoa mchango wake bungenii. Kikubwa tuu wachochee gurudumu la maendeleo
Anahitaji muda wajameni.
Pindi atakapoyajua mapambio vizuri pamoja na wakati (muafaka) wa kuyaimba huku akijigalagaza miguuni pa mungu wa burigi kama akina Propesa wa Jalalani, mambo yatakuwa MSWANO kwake.
Angalia akina Jenista/Ummy hawakauki humo?
 

shamimuodd

JF-Expert Member
Jan 28, 2019
640
1,000
Salaam mwenu wadau!

Wengi tuliamini kutokana na zile sifa alizokapataga Dkt. Kimei siku inafunguliwa CRDB tawi la Chato huko mkoani Geita bas hakika Dr. Kimei angeula kwenye baraza la Mawaziri la huyu mzee!

Nafikiri ata kwenda kugombea ubunge huko Vunjo, Kimei alijua lazima ataingia kwenye Baraza la Mawaziri lakini siku zimepita na Baraza limetangazwa lakini Charles hayupo!

Nini kimepelekea? Hakuwa hakuwa anamjua vyema kipindi kile now ndo kamjua vizuri au?

Itakuwa vetting, vi skendo kibao vya yeye labda
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom