Kimenuka: Wanafunzi waandamana kwa kukosa mikopo, Mama Ndalichako hii vipi?

Ha ha haaaa!...acha waandamane tu,hakuna namna.hii serikali haifai
 
Maandamano ya lini haya au Leo tupeni taarifa jamani wengine wanahabari wa kujitegemea
 
Hawajajipanga hawa. Hawana mabango, hawana strength ya mgomo. Kama vile wanaenda kkoo. Alafu wanaelekea ITV. Watapewa majibu mepesi na yeyote yule
 
Mwenyezi Mungu awalinde na kuwapa ujasiri kwa kipindi kigumu kinachowakabili. Pia awaepushe na kadhia ya kuitwa VI-LA-ZA
 
Ccm jamani muwe hata na huruma basi.. Magufuli rais wetu kulikoni kila siku unamtaja Mungu lakini matendo yako tofauti?
 
kumbe chuo chenyewe cha TRA.... hata mkigoma karne nzima hamna effect.... mbaaf kabisa
 
Back
Top Bottom