Kimenuka, Vijana wanataka ajira...

Kimenuka, Vijana wanataka ajira...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
mxcpmeanwhile-in-africa-22.jpg

Vijana katika hisia kali na mabango ya kutisha wakidai ajira...
 
Ndio matatizo ya UELEWA wetu yaani usomeshwe hadi Chu, Chuo Kikuu halafu utafutiwe Kazi
Hizo ndoto ziishe tupo karne ingine na Millenium
Kila mtu abuni kazi zake mwenyewe, Elimu uliyopata inatosha kukutanabaisha wewe ni nani katika jamii
Watu mmefuta Stadi za Elimu
Mmefuta JKT
hakuna kulima Mashamba Darasa (km ufugaji, Kilimo Uvuvi)
mmefuta Ufundi Mashuleni (ufundi Uashi, useremala)
WOTE MNATAKA KAZI-KAZI serikali itoe mitaji
Watu wanataka waingie Ikulu, wakatengeneze kazi
Huko Afrika ya Kusini (km picha inavyojieleza) wameshtuka kwani ukipata Degree yako unaenda tafuta kazi mwenyewe hata km ni kuingia Mgodini
Vyuo Vikuu hapa TZ vinaongezeka kila uchao, sio maana ukitoka hapo na Direct Employment ni ingia mtaani katafute
 
Back
Top Bottom