Kimenuka: Ukawa hali si shwari


kuna tatizo musoma mwenyekiti na katibu wenu wa wilaya hawashauriki, kuna kitu sitaki kukisema hapa kitawaletea sintofahamu ila kubalini kuna tatizo hasa kutokana na mgogoro wa diwani wa CUF wa kigera na baadhi ya madiwani wa CDM
 
Wanawivu haoooooo ukawa uko imala hizo ni porojo zenu2 wala hazina mashiko.
 

Rejea kauli ya mbowe jangwani siku ya kuwekeana saini. Alisema kiongoz yeyote Wa ngazi yoyote Wa chadema ambae haikubali ama hatambui makubaliano hayo ya UKAWA atafute chaka mapema.
 
kuna tatizo musoma mwenyekiti na katibu wenu wa wilaya hawashauriki, kuna kitu sitaki kukisema hapa kitawaletea sintofahamu ila kubalini kuna tatizo hasa kutokana na mgogoro wa diwani wa CUF wa kigera na baadhi ya madiwani wa CDM

kama kuna mahali kuna mgogoro sikatai ila Tanga, moshi, arusha, musoma, kigoma na manyara hali ni swari. Ondoa shaka kutofautiana ni kawaida cha msingi nii jinsi ya kutatua mgogoro. Tumekubaliana kuwa tutapiga kura ya maoni kuona ni mgombea gani wa ukawa anakubalika na hilo zoezi linaendelea vizuri mwamuzi wa mwisho ni wapiga kura. mtu kama hakubali tunapiga kura na kumpata mshindi that's all.
 
Kuwa na matumaini na UKAWA ni kuichosha AKILI yako tu,hapa ni MDA tu UTAWAUMBUA
​
 
skia we mama habari ya mujini ni
IPTL/ singasinga bring back our money
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Mleta maada ni mpuuzi tu. Hajui kuwa uamuzi wa nani na wa chama gani agombee sehemu utafuata vigezo vilivyoandaliwa na kamati ya wataalam, siyo viongozi wa eneo au chama kusema fulani au mimi nataka kugombea mahali fulani. Ni vigezo vilivyowekwa tu ndivyo vitakavyofuatwa.

Sasa huu upuuzi wa eti 'kimenuka' kimenuka nini?
 
subiri tunachukua hatua mara moja! siku nyingine upige cm kwa viongozi wa UKAWA, Siyo kuja huku.
 
Tatizo neno kimenuka?
Fanya kama halipo hilo neno na utoe majibu kuhusu Ubabe wa CDM maeneo mengine niliyoyataja
 
taarifa ni za Uongo? Hoja zako za kuthibitisha uongo wa taarifa zipo wapi?


angalia hizi picha hapa uniambie kuna haja gani ya kujadili ukawa badala ya maisha ya wapiga kura tena wa ccm? mtaji wenu ni wajinga haya mnaacha wajinga wauwane mtapata wapi kura 2015? watu wana chinjana wengine kwa mbele wengine kwa nyuma kuweni makini kimbari inanukia ni ushauri tuu toa boriti lako kwanza

View attachment 202927View attachment 202927
 
Mtoa mada ni chizi, anachoandika kina nia ya kuleta uchochezi wa makusudi. PUMBAFU
 
Hayo tuliyajua mapema na twaweza yenu, mtajuta hapa CCM lazima mlale na viatu
 

ww ni k..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…