Kimenuka ubungo

Kimenuka ubungo

Hao wamachinga wakatafute wap ridhik?Serikal iache watu wajitafutie na walishe family zao au vbanga waongezeke mitahan
 
Waende machinga complex. Ni muhimu kuwa na nchi iliyopangika. Sio mko baa mnakula nyama choma na kiti cha pili mwingine ananunua viatu na wa numa yake anapaka rangi kucha za miguu michafuuu! Wasitumie nguvu lakini wasafishe mji!
Hao wamachinga wakatafute wap ridhik?Serikal iache watu wajitafutie na walishe family zao au vbanga waongezeke mitahan
 
serikali ya kifisadi ikishindwa kukusanya kodi kwa matajili,itakuwa inakimbizana na wamachinga mabarabarani....

nasikia ni maandalizi ya obama bibi. wanasema kama atapitia ubungo vile?. eti hawataki aone zile t'shirt zake zimetundikwa kwenye mianzi juu ya lile daraja la mto kibangu.
 
Kuna mapambano makali sana yanaendelea hapa Ubungo kati mgambo wa jiji& polisi vs Wamachinga wanao fanya biashara zao maeneo ya Ubungo. Ni nouma

inaarufu gani iyo kachalaaaa
 
Ushauri kwa Mnyika asiende huko plz...manake..
 
Kuna mapambano makali sana yanaendelea hapa Ubungo kati mgambo wa jiji& polisi vs Wamachinga wanao fanya biashara zao maeneo ya Ubungo. Ni nouma
Chagua CCM,
Chagua Matatizo!!
 
Serikali corrupt haikusanyi kodi huishia kufukuzana na wafanya biashara wadogo barabarani huko...(Mwl.Nyerere)

aisee huwa naupendaga sana huu msemo wa mchonga a.k.a further thinker j.k original.
 
Wanaacha mahoteli makubwa wanafukuzana na watu mabarabarani! Viserikali corrupt havikusanyi kodi.-MWALIMU.
 
Back
Top Bottom