LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,349 Reaction score 36,304 Jun 12, 2013 #1 Kuna mapambano makali sana yanaendelea hapa Ubungo kati mgambo wa jiji& polisi vs Wamachinga wanao fanya biashara zao maeneo ya Ubungo. Ni nouma
Kuna mapambano makali sana yanaendelea hapa Ubungo kati mgambo wa jiji& polisi vs Wamachinga wanao fanya biashara zao maeneo ya Ubungo. Ni nouma
Iron Lady JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 4,071 Reaction score 1,380 Jun 12, 2013 #2 vitu vya ncha kali wamebeba policcm?
kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,244 Jun 12, 2013 #3 Ayaaa! Kimenuka. Wasipo singiziwa Chadema hapo sijui.
mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 477 Jun 12, 2013 #4 Kina harufu gani hicho kilichonuka?
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,362 Reaction score 4,125 Jun 12, 2013 #5 Acha kutubania mkuu, vipicha basi kidogo!!
Puro Member Joined Sep 21, 2011 Posts 13 Reaction score 8 Jun 12, 2013 #6 Nakumbuka FFU waliwahi kuweka kambi miezi kama miwili hapo ubungo.
Loy MX JF-Expert Member Joined Mar 26, 2012 Posts 1,253 Reaction score 313 Jun 12, 2013 #7 Mkuu tatizo ni nini?? Daah afu ni jimbo la Mnyika hilo hawakawii kutafuta sababu hwa Magamba..
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,813 Jun 12, 2013 #8 hapo amna mapambano wale machinga wa ubungo waoga na mara nyingi wako un-organized just is a short minutes policcm will take to clear the violence.
hapo amna mapambano wale machinga wa ubungo waoga na mara nyingi wako un-organized just is a short minutes policcm will take to clear the violence.
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,379 Jun 12, 2013 #9 Na hii foleni ya jioni panapitika??
Makala Jr JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 3,395 Reaction score 1,112 Jun 12, 2013 #10 Serikali corrupt haikusanyi kodi huishia kufukuzana na wafanya biashara wadogo barabarani huko...(Mwl.Nyerere)
Serikali corrupt haikusanyi kodi huishia kufukuzana na wafanya biashara wadogo barabarani huko...(Mwl.Nyerere)
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Jun 12, 2013 #11 Mnyika mchochezi......
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,657 Jun 12, 2013 #12 ITEGAMATWI said: Acha kutubania mkuu, vipicha basi kidogo!! Click to expand... Nilijua tu,
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,813 Jun 12, 2013 #13 Masanilo said: Mnyika mchochezi...... Click to expand... Amechochea nini sasa hapo unaropoka kama vile unapumuliwa kisogoni.
Masanilo said: Mnyika mchochezi...... Click to expand... Amechochea nini sasa hapo unaropoka kama vile unapumuliwa kisogoni.
Muke Ya Muzungu JF-Expert Member Joined Jun 17, 2009 Posts 3,444 Reaction score 265 Jun 12, 2013 #14 John Mnyika asionekane huko !
ugolo wa bibi JF-Expert Member Joined Jul 16, 2012 Posts 1,305 Reaction score 302 Jun 12, 2013 #15 serikali ya kifisadi ikishindwa kukusanya kodi kwa matajili,itakuwa inakimbizana na wamachinga mabarabarani....
serikali ya kifisadi ikishindwa kukusanya kodi kwa matajili,itakuwa inakimbizana na wamachinga mabarabarani....
MD25 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 3,074 Reaction score 1,030 Jun 12, 2013 #16 Iron Lady said: vitu vya ncha kali wamebeba policcm? Click to expand... Sio Policcm ni majibwa/mimbwa koko ya ccm...
Iron Lady said: vitu vya ncha kali wamebeba policcm? Click to expand... Sio Policcm ni majibwa/mimbwa koko ya ccm...
B blueprint. JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 220 Reaction score 62 Jun 12, 2013 #17 sasa hapo ubungo daaah? siwataumizana sana? mana strabag walivoifanya ile barabara nadhani wamachinga wanauhakika na siraha.ni kuinama na kuokota tu.
sasa hapo ubungo daaah? siwataumizana sana? mana strabag walivoifanya ile barabara nadhani wamachinga wanauhakika na siraha.ni kuinama na kuokota tu.
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,813 Jun 12, 2013 #18 RevolutionaryTZ said: John Mnyika asionekane huko ! Click to expand... kwanini what have he done? tanzania ya leo siyo ile ya 1961 ambapo ilikua vigumu mtu kuwa na redio.
RevolutionaryTZ said: John Mnyika asionekane huko ! Click to expand... kwanini what have he done? tanzania ya leo siyo ile ya 1961 ambapo ilikua vigumu mtu kuwa na redio.
Godee jr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,906 Reaction score 2,699 Jun 12, 2013 #19 RevolutionaryTZ said: John Mnyika asionekane huko ! Click to expand... Kwani vipi. unaogopa utakosa pesa ya matumizi au
RevolutionaryTZ said: John Mnyika asionekane huko ! Click to expand... Kwani vipi. unaogopa utakosa pesa ya matumizi au
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Jun 12, 2013 #20 Hapa ni shwari naona mawe tu yamebaki! Now nipo kwenye mataa