Kimenuka tena Tahriri Square ?

Kimenuka tena Tahriri Square ?

Wawe makini maana huyo Al sisi haogopi kuwaua kwa mamia kama alivyowafanya wafuasi wa Muslim brotherhood waliokuwa wakiandamana kupinga Marehemu Morsi kupinduliwa na dunia ilikaa kimya hamna kilichofanyika.
 
Ni kweli kimenuka. Futa hio alama ya ulizo
Dunia imekaa kivita vita vita vita ya 3 ya dunia inanukia, siku atakayovurugwa Germany ujue kimewaka. Germany hawanaga cha kulemba ktk hiii dunia vita zote za dunia yeye ndio chanzo lakini wengine ni miyayusho tuuuu
Schwarztiger Draxer
 
Al sisi Myahudi Ana hali tete... Pengine Netanyahu atamsaidia kusepa...

Hivi kwanini viongozi wa nchi za nje wakidhuru Tanzania basi muda tu lazima kwao kinuke
 
Dunia imekaa kivita vita vita vita ya 3 ya dunia inanukia, siku atakayovurugwa Germany ujue kimewaka. Germany hawanaga cha kulemba ktk hiii dunia vita zote za dunia yeye ndio chanzo lakini wengine ni miyayusho tuuuu
Schwarztiger Draxer
Ujerumani hawana kitu sasa hivi.

Baada ya vita ya dunia ya hitler.
Jeshi lao liliwekewa limitation nyingi sana.

Kwa hio German watoe kwenye ramani ya dunia.

Watu wa kuwaogopa ni middle east.
 
Hivi na sisi Wabongo square yetu ipo wapi?

Jangwani uwanjani au wapi?

Posta Mpya katikati pale au?

Au Kariakoo?

Hatuna jengo au uwanja/upenuni maalumu wa matukio makubwa ya kitaifa kama nchi zingine!

Poor us!
Nyerere square Dodoma
 
Back
Top Bottom