Kimenuka tena Tahriri Square ?

Kimenuka tena Tahriri Square ?

Sisi hawezi kubali hilo kutokea yule atawwsaga saga haswaaaa
Al sisi hawezi kubali ondolewa kea sababu ndogo nyepesi km hizo ninaamini watu wa system wa misri wapo kazini kuthibiti hilo wakishirikiana na MOSSAD na CIA
 
Dunia imekaa kivita vita vita vita ya 3 ya dunia inanukia, siku atakayovurugwa Germany ujue kimewaka. Germany hawanaga cha kulemba ktk hiii dunia vita zote za dunia yeye ndio chanzo lakini wengine ni miyayusho tuuuu
Schwarztiger Draxer
Naona Mna Anza Kukubali Kwanjia Isio Yamoja kwamoja yakwamba Hakuna Vita Ya IRAN na US

Mlisema Drone Watapigwa Mpaka leo kimya Mkasema Meli watPigwa Mpaka leo kimya

Mmesema visima vyamafuta mpaka leo kimya kipigo atakachopewa IRAN Kwahili Nikuzuiwa Wanadiplomasia Wake Kutoenda Kushiriki Mkutano Wa UN Pale US

Kuhusiana Na GERMAN Ahangaike Asije Akaiingia Miziki Ya IRAN Akiingia Miziki Ya MUAJEMI Atakula Kipigo Na hata bweka kama walivyofanya Mabwana Wakubwa Zake
 
Wawe makini maana huyo Al sisi haogopi kuwaua kwa mamia kama alivyowafanya wafuasi wa Muslim brotherhood waliokuwa wakiandamana kupinga Marehemu Morsi kupinduliwa na dunia ilikaa kimya hamna kilichofanyika.
Upo sahihi sisi ni zao la mossad na Cia hivyo anajua hakuna wa kuzingua endapo atafanya mauaji
 
Egyptians wanajiamini na wana uzalendo haswa
Wanaipenda nchi yao sana hata wakiwa nchi gani wanabaki na passports zao wengi wao huwa hawabadilishi (nimefanya nao kazi sana)
Na wakiamua wameamua
Al Sisi myahudi anaejificha kwa mgongo wa Mmisri
 
Back
Top Bottom