Kimenuka Korea Kusini: Maandamano ya kupinga Marekani kuweka kambi yake ya kijeshi

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Wadau nilikuwa naangalia aljazera huko Korea naona kuna maandamano ya wananchi kupinga uwepo wa marekani kuweka base yake kijeshi ili kujiandaa na vita na Korea kaskazini.

WAKATI huo huo wananchi wanandamana kumpinga RAISI wao huku wakilaamu RAISI wao ya kwamba hawapo tayali kuona vita yao na Korea kaskazini ikipigwa ndani ya arthi yao huku wakisema hawapo tayali nchi yao kuangamia eti kisa marekani .

Mytake:RAISI wa Korea KUSINI AWE makini MAREKANI,

HII VITA IKIPIGWA NDANI YA ARTHI YAKE MAREKANI HATAATHIRIKA KWA LOLOTE LILE WALA HAITAPOTEZA CHOCHOTE KILE ILA KOREA KUSINI NDO ITAUMIA
 
WAKATI huo huo wananchi wanandamana kumpinga RAISI wao huku wakilaamu RAISI wao ya kwamba hawapo tayali kuona vita yao na Korea kaskazini ikipigwa ndani ya arthi yao lakini pia kuna w

Ni Wapumbavu tu waliotukuka ndiyo watashabikia na hata kutamani hii Vita ya Majabali wawili duniani itokee lakini wenye AKILI zinazowatosha na wanaopenda Maendeleo kamwe hawawezi kufurahia kinachoendelea sasa baina ya Marekani na Korea ya Kaskazini. Kama haya unayoyasema ni ya kweli basi naomba niwe wa kwanza kuwapa Kongole ( pongezi ) Wananchi wa Korea ya Kusini kwa kuwa utashi na maono ya mbali juu ya Taifa lao ambalo sasa linazidi tu kupiga hatua nyingi za Kimaendeleo duniani.
 
Naona kama umejichanganya sana.
Rudia kusoma "kaskazini na kusini ipi ni ipi"
 
Ni Wapumbavu tu waliotukuka ndiyo watashabikia na hata kutamani hii Vita ya Majabali wawili duniani itokee lakini wenye AKILI zinazowatosha na wanaopenda Maendeleo kamwe hawawezi kufurahia kinachoendelea sasa baina ya Marekani na Korea ya Kaskazini. Kama haya unayoyasema ni ya kweli basi naomba niwe wa kwanza kuwapa Kongole ( pongezi ) Wananchi wa Korea ya Kusini kwa kuwa utashi na maono ya mbali juu ya Taifa lao ambalo sasa linazidi tu kupiga hatua nyingi za Kimaendeleo duniani.
Duh!!! korea kawa jabali?
 
Marekani ni mjanja sana anajua hayupo tayali kuona vita ikipigwa katika arthi yake anajua nyuklia za mkorea zikirushwa zitaaingaimiza Korea KUSINI sio marekani
IPO siku atakutana na wababe ndio atakuwa na nidhamu lakini kama vita ikitokea jamaa asisaidiwe na wapuuzi wenzake
 
Wadau nilikuwa naangalia aljazera huko Korea naona kuna maandamano ya wananchi kupinga uwepo wa marekani kuweka base yake kijeshi ili kujiandaa na vita na Korea kaskazini.

WAKATI huo huo wananchi wanandamana kumpinga RAISI wao huku wakilaamu RAISI wao ya kwamba hawapo tayali kuona vita yao na Korea kaskazini ikipigwa ndani ya arthi yao huku wakisema hawapo tayali nchi yao kuangamia eti kisa marekani .

Mytake:RAISI wa Korea KUSINI AWE makini MAREKANI,

HII VITA IKIPIGWA NDANI YA ARTHI YAKE MAREKANI HATAATHIRIKA KWA LOLOTE LILE WALA HAITAPOTEZA CHOCHOTE KILE ILA KOREA KUSINI NDO ITAUMIA
rais wa korea ni nan?
 
Ni Wapumbavu tu waliotukuka ndiyo watashabikia na hata kutamani hii Vita ya Majabali wawili duniani itokee lakini wenye AKILI zinazowatosha na wanaopenda Maendeleo kamwe hawawezi kufurahia kinachoendelea sasa baina ya Marekani na Korea ya Kaskazini. Kama haya unayoyasema ni ya kweli basi naomba niwe wa kwanza kuwapa Kongole ( pongezi ) Wananchi wa Korea ya Kusini kwa kuwa utashi na maono ya mbali juu ya Taifa lao ambalo sasa linazidi tu kupiga hatua nyingi za Kimaendeleo duniani.

Korea ya Kaskazini nae JABALI...? duh maisha yako kasi sana.
 
Faida ya demokrasia hiyo

Upo huru kuunga mkono au kutokuunga mkono maamuzi ya nchi yako

Lakini kwa North Korea hawana lolote lakuamua kuhusu hatma ya nchi yao.

Dictator Kim anaamua kila kitu mwenyewe.

The rogue state of N Korea must be toppled.
 
Wadau nilikuwa naangalia aljazera huko Korea naona kuna maandamano ya wananchi kupinga uwepo wa marekani kuweka base yake kijeshi ili kujiandaa na vita na Korea kaskazini.

WAKATI huo huo wananchi wanandamana kumpinga RAISI wao huku wakilaamu RAISI wao ya kwamba hawapo tayali kuona vita yao na Korea kaskazini ikipigwa ndani ya arthi yao huku wakisema hawapo tayali nchi yao kuangamia eti kisa marekani .

Mytake:RAISI wa Korea KUSINI AWE makini MAREKANI,

HII VITA IKIPIGWA NDANI YA ARTHI YAKE MAREKANI HATAATHIRIKA KWA LOLOTE LILE WALA HAITAPOTEZA CHOCHOTE KILE ILA KOREA KUSINI NDO ITAUMIA
Rais wa Korea kusini alishatolewa madarakani na mahakama wiki chache zilizopita ,hebu tutajie jina la rais anayepingwa na wananchi
 
Serikali yao ilishasaini mkataba wa miaka kibao ya uwepo wa hiyo Base na hayo ndio majukumu ya Base za marekani Duniani kote....wavumilie Tu! Wangeanza kugomea mikataba kama walikuwa serious...
 
Back
Top Bottom