Image captionWaandamana kumpinga kabila
Maandamano ya upinzani yanafanyika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupinga uamuzi wa mahakama ya kikatiba mapema mwezi huu kwamba rais Joseph kabila atasalia madarakani baada ya mda wake kukamilika iwapo uchaguzi hautafanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Maandamano hayo yamepigwa marufuku katika maeneo mengine ikiwemo mji wa Lubumbashi nyumbani kwa mgombea wa urais wa Upinzani Moise Katumbi.
Mashariki mwa mji wa Goma hali inazidi kuwa mbaya ,huku waandishi wa habari wakituma ujumbe wa Twitter kwamba jeshi limekuwa likifyatua risasi na kuwazuia raia kukongamana.
Mwandishi huru wa habari Ley Uwara alituma ujumbe wa Twitter kwa lugha ya Ufaransa kwamba hakuna uchukuzi wa umma hivyobasi watu wameshindwa kwenda kazini.
Image captionWaandamana Kumpiga kabila
Mjini Goma katika eneo la Birere,amesema kuwa ni mchezo wa paka na panya ambapo vijana wamekuwa wakijibizana na polisi kwa kuwarushia mawe huku nao maafisa hao wakiwatupia vitoa machozi.
Anasema kuwa baadhi ya vijana wamekamatwa na jeshi kutumwa ili kuwasaidia maafisa wa polisi.
Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
Mkuu ANTI - BIOTIC ( GENTAMYCINE ) MOISE KATUMBI Asije kuwa kama huyu wa Nyumbani .Kabila hata afanyeje Wakongo huwaambii kitu sasa kwa Moise Katumbi Chapwe hasa ukizingatia Wakongo wengi ni Wapenda Michezo hivyo wamepima mafanikio yake katika Michezo hasa akiwa na Timu ya Tou Pissant Mazembe na alivyoifanikisha hadi kutisha si tu Afrika bali hadi duniani. Wanadamu ( wapiga kura ) wanaweza wakakupenda kwa kitu kidogo tu hata kama kwako kitaonekana cha Kipuuzi. Ila kiukweli huyu Katumbi anaweza akaibadili Congo kutokana na exposure na networking yake hasa Kibiashara na kujua mno kujichanganya na Wana Kongo. Kushindwa kwa Katumbi kuwa Rais wa DRC labda wamtoe Uhai ( wamuue ) na hata kama wakimuua Kabila asitarajie ataongoza vizuri kwani nchi haitakalika na tunaweza kuona yale ya 1996 hadi 1998.
Mkuu ANTI - BIOTIC ( GENTAMYCINE ) MOISE KATUMBI Asije kuwa kama huyu wa Nyumbani .
Japo jamaa Yuko vizuri Sana Kila kitu.
Sawa Mkuu.Huyu wa nyumbani yupi sasa Lowassa au Magufuli? Kwakuwa tayari umeshakiri kuwa Moise Katumbi Chapwe yuko vizuri na ana kila kitu sina tena la kuongeza hapo sana sana pigia tu mstari ulichokiandika mwisho kwani ndiyo ukweli mtupu. Hata Kipesa Lowassa na Magufuli na Vyama vyao wachanganye Pesa zao zote bado hawawezi hata kufikia tu robo tatu ya Pesa / Hela za Moise. Na kumbuka kuwa kuna tofauti ya kuwa na Shilingi, Pesa / Hela na Fedha. Kwa mfano tu ulio hai ni kwamba:
Moise Katumbi Chapwe unaweza kumfananisha na Matajiri Wakubwa wa Afrika kama:
- Mimi Gentamycine nina Shilingi tu za kununua Tembele, Dagaa na Maharage ( Masikini niliyetukuka )
- Lowassa na Magufuli pamoja na CHADEMA na CCM wana Pesa / Hela ( Wanaondokana na Umasikini )
- Moise Katumbi Chapwe ana FEDHA narudia tena Moise Katumbi Chapwe na FEDHA ( Tajiri aliyetukuka )
Kabila hata afanyeje Moise Katumbi Chapwe ndiyo Rais ajaye wa DRC japo natabiri umwagaji damu mkubwa sana mwaka huu huko Congo na hadi kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kabila anaenda kutumia nguvu sana ya Kijeshi na Kiusalama kummaliza Moise na Wafuasi wa Moise hawatakubali hivyo tutegemee kupokea Wakimbizi wengi kutoka Congo na tuanze pia kuunda Bendi zetu za Miziki hapa Tanzania kwani akina " Bandeko na Ngai " a.k.a Wazairwaa wengi watamiminika Bongo kujiokoa huku tusisahau kuwachunga Wake na Mademu zetu kwani Wanaume wa Kikongo wanajua " kutekenya " na hakuna Binti au Mwanamke yoyote ambaye atafanya Mapenzi na Mkongo asirudi tena au asimng'ang'anie huku akimuhonga. Siku nyingine nitakuja kutoa SIRI kubwa ya kwanini Wanaume wa Kongo ni Mafundi wa " Ngono " japo naogopa kusema kwani najua Wanaume wa Kitanzania mtaanza kuwachukia na hata kuwafukuza!
- Aliko Dangote wa Nigeria
- Patrice Motsepe wa Afrika ya Kusini mmiliki wa Timu maarufu ya Mamelodi Sundowns
- Kaizer Motaung wa Afrika ya Kusini mmiliki wa Timu maarufu ya Kaizer Chiefs
kama ndivyo basi Yanga atamfunga mazembe kirahisi kama sehemu ya kampeniKabila hata afanyeje Wakongo huwaambii kitu sasa kwa Moise Katumbi Chapwe hasa ukizingatia Wakongo wengi ni Wapenda Michezo hivyo wamepima mafanikio yake katika Michezo hasa akiwa na Timu ya Tou Pissant Mazembe na alivyoifanikisha hadi kutisha si tu Afrika bali hadi duniani. Wanadamu ( wapiga kura ) wanaweza wakakupenda kwa kitu kidogo tu hata kama kwako kitaonekana cha Kipuuzi. Ila kiukweli huyu Katumbi anaweza akaibadili Congo kutokana na exposure na networking yake hasa Kibiashara na kujua mno kujichanganya na Wana Kongo. Kushindwa kwa Katumbi kuwa Rais wa DRC labda wamtoe Uhai ( wamuue ) na hata kama wakimuua Kabila asitarajie ataongoza vizuri kwani nchi haitakalika na tunaweza kuona yale ya 1996 hadi 1998.
Huyu wa nyumbani yupi sasa Lowassa au Magufuli? Kwakuwa tayari umeshakiri kuwa Moise Katumbi Chapwe yuko vizuri na ana kila kitu sina tena la kuongeza hapo sana sana pigia tu mstari ulichokiandika mwisho kwani ndiyo ukweli mtupu. Hata Kipesa Lowassa na Magufuli na Vyama vyao wachanganye Pesa zao zote bado hawawezi hata kufikia tu robo tatu ya Pesa / Hela za Moise. Na kumbuka kuwa kuna tofauti ya kuwa na Shilingi, Pesa / Hela na Fedha. Kwa mfano tu ulio hai ni kwamba:
Moise Katumbi Chapwe unaweza kumfananisha na Matajiri Wakubwa wa Afrika kama:
- Mimi Gentamycine nina Shilingi tu za kununua Tembele, Dagaa na Maharage ( Masikini niliyetukuka )
- Lowassa na Magufuli pamoja na CHADEMA na CCM wana Pesa / Hela ( Wanaondokana na Umasikini )
- Moise Katumbi Chapwe ana FEDHA narudia tena Moise Katumbi Chapwe na FEDHA ( Tajiri aliyetukuka )
Kabila hata afanyeje Moise Katumbi Chapwe ndiyo Rais ajaye wa DRC japo natabiri umwagaji damu mkubwa sana mwaka huu huko Congo na hadi kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kabila anaenda kutumia nguvu sana ya Kijeshi na Kiusalama kummaliza Moise na Wafuasi wa Moise hawatakubali hivyo tutegemee kupokea Wakimbizi wengi kutoka Congo na tuanze pia kuunda Bendi zetu za Miziki hapa Tanzania kwani akina " Bandeko na Ngai " a.k.a Wazairwaa wengi watamiminika Bongo kujiokoa huku tusisahau kuwachunga Wake na Mademu zetu kwani Wanaume wa Kikongo wanajua " kutekenya " na hakuna Binti au Mwanamke yoyote ambaye atafanya Mapenzi na Mkongo asirudi tena au asimng'ang'anie huku akimuhonga. Siku nyingine nitakuja kutoa SIRI kubwa ya kwanini Wanaume wa Kongo ni Mafundi wa " Ngono " japo naogopa kusema kwani najua Wanaume wa Kitanzania mtaanza kuwachukia na hata kuwafukuza!
- Aliko Dangote wa Nigeria
- Patrice Motsepe wa Afrika ya Kusini mmiliki wa Timu maarufu ya Mamelodi Sundowns
- Kaizer Motaung wa Afrika ya Kusini mmiliki wa Timu maarufu ya Kaizer Chiefs
Pole Yao Mkuu.Umwagaji damu ushaanza tayari
...na ukichukulia Moise Katumbi ni mtoto wa nyumbani.Huyu wa nyumbani yupi sasa Lowassa au Magufuli? Kwakuwa tayari umeshakiri kuwa Moise Katumbi Chapwe yuko vizuri na ana kila kitu sina tena la kuongeza hapo sana sana pigia tu mstari ulichokiandika mwisho kwani ndiyo ukweli mtupu. Hata Kipesa Lowassa na Magufuli na Vyama vyao wachanganye Pesa zao zote bado hawawezi hata kufikia tu robo tatu ya Pesa / Hela za Moise. Na kumbuka kuwa kuna tofauti ya kuwa na Shilingi, Pesa / Hela na Fedha. Kwa mfano tu ulio hai ni kwamba:
Moise Katumbi Chapwe unaweza kumfananisha na Matajiri Wakubwa wa Afrika kama:
- Mimi Gentamycine nina Shilingi tu za kununua Tembele, Dagaa na Maharage ( Masikini niliyetukuka )
- Lowassa na Magufuli pamoja na CHADEMA na CCM wana Pesa / Hela ( Wanaondokana na Umasikini )
- Moise Katumbi Chapwe ana FEDHA narudia tena Moise Katumbi Chapwe na FEDHA ( Tajiri aliyetukuka )
Kabila hata afanyeje Moise Katumbi Chapwe ndiyo Rais ajaye wa DRC japo natabiri umwagaji damu mkubwa sana mwaka huu huko Congo na hadi kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kabila anaenda kutumia nguvu sana ya Kijeshi na Kiusalama kummaliza Moise na Wafuasi wa Moise hawatakubali hivyo tutegemee kupokea Wakimbizi wengi kutoka Congo na tuanze pia kuunda Bendi zetu za Miziki hapa Tanzania kwani akina " Bandeko na Ngai " a.k.a Wazairwaa wengi watamiminika Bongo kujiokoa huku tusisahau kuwachunga Wake na Mademu zetu kwani Wanaume wa Kikongo wanajua " kutekenya " na hakuna Binti au Mwanamke yoyote ambaye atafanya Mapenzi na Mkongo asirudi tena au asimng'ang'anie huku akimuhonga. Siku nyingine nitakuja kutoa SIRI kubwa ya kwanini Wanaume wa Kongo ni Mafundi wa " Ngono " japo naogopa kusema kwani najua Wanaume wa Kitanzania mtaanza kuwachukia na hata kuwafukuza!
- Aliko Dangote wa Nigeria
- Patrice Motsepe wa Afrika ya Kusini mmiliki wa Timu maarufu ya Mamelodi Sundowns
- Kaizer Motaung wa Afrika ya Kusini mmiliki wa Timu maarufu ya Kaizer Chiefs
Hebu jitanue kifikra mkuu. Wacongo wanajua kuwa wanaongozwa na mnyarwanda. Joseph Kabila ni mtusi wa rwanda kama alivyo bosco ntaganda na laurent nkundabatware (nkunda),jina lake halisi anaitwa Hyporite Kanambe. Mama yake ni dada wa mkuu wa majeshi wa Rwanda James Kabarebe kwa baba mmoja na mama mmoja. Baba yake hyporite alikuwa mshirika mkubwa wa desire kabila, hivyo mzee kanambe alivyofariki kwa kupigwa risasi na kutoswa ziwani, desire kabila akamuoa mama yake hyporite. Mzee Kanambe aliacha watoto wawili, hyporite na dada yake. Hivyo Joseph Kabila ( hyporite) sio mtoto wa Kabila. Mauaji ya Laurent Kabila yaliandaliwa na kutekelezwa na Paulo kagame akishirikiana na yoweri museveni. Ni historia ndefu sana ya kwa nini Kabila aliuawa na Joseph akakabidhiwa nchi. Kanambe anaongoza nchi kwa msaada na matakwa ya kagame na museveni. Sasa wacongo wanayajua haya yote lkn walisubiri muda muafaka ili wamtoe kanambe. Unafikiri ni kwa nini uchaguzi haupo Congo mwaka huu ? Muwe mnajifunza na kudadisi sio kuandikaandika tu msiyoyajua.hali kama hii ingekuwa burundi tungesikia 'kagame'
...na ukichukulia Moise Katumbi ni mtoto wa nyumbani.
Wakati mwingine huwa nacheka sana nikiyaona maandiko kama haya. Nacheka kwa sababu nimeshindwa kuifafanua akili yako,na zaidi majigambo uliyonayo yananiacha hoi. Anyway, mtadhibitiwa kikamilifu.Wala hujakosea Mkuu na labda tu niwaambie wengine kuwa Moise Katumbi Chapwe anawakilisha ule mpango wetu wa kuwa na HIMA / TUTSI EMPIRE Afrika ya Mashariki na tayari tumeshaweza Tanzania, juzi Uganda na kuna Mtu tunamwandaa akamtoe Uhuru na Ruto wake Kenya, tunamsubiri Mzee Mkapa amalize kuwachanganya Waburundi Kisaikolojia huko Arusha ili mwaka huu au mwakani tumweke Mtu wetu huko Burundi huku Rwanda Kwetu akiwepo mwenyewe mwenye UTUTSI wake Paul Kagame na sasa tumeshakamilisha kila kitu cha kumwezesha Mnyarwanda mwenzetu wa Kabila lililobarikiwa KIAKILI, KIVITA, KIMIPANGO na KIMIKAKATI la TUTSI ambaye si mwingine bali ni Tajiri na mmiliki wa Timu ya TP Mazembe Bwana Moise Katumbi Chapwe. Na Sisi Wanyarwanda tutafanya kila liwezekanalo ikibidi hata kujitoa SADAKA ili Katumbi awe Rais wa nchi ya Kidemokrasia ya Watu wa Kongo. Japo Kabila ni Mtutsi mwenzetu ila AMETUSALITI sana kwa Kudanganywa na Vasco Da Gama wa Tanzania ( Mstaafu ) na tutamsamehe mpaka akituomba MSAMAHA kwani tulitoa DAMU za Wanyarwanda akina ( Kadogoo ) ili yeye na Marehemu Baba yake wale Kuku kwa mrija huko DRC lakini AMEJISAHAU na kusahau nguvu ya KITUTSI ambayo HAIZUILIKI na Mtu yoyote isipokuwa tu mwenyewe Mwenyezi Mungu.
Wakati mwingine huwa nacheka sana nikiyaona maandiko kama haya. Nacheka kwa sababu nimeshindwa kuifafanua akili yako,na zaidi majigambo uliyonayo yananiacha hoi. Anyway, mtadhibitiwa kikamilifu.
....Katumbi hawezi kumuondoa madarakani Kabila,habari ya utajiri wake sijui na michezo atabaki nayo hivyo hivyo. Uchaguzi uliopita Kabila alikuwa na ushindani mkali zaidi ya huu wa sasa na bado akamshinda mpinzani wake(jina nimesahau),Siasa za kiafrika waachie wenyewe wanasiasa!Kabila hata afanyeje Wakongo huwaambii kitu sasa kwa Moise Katumbi Chapwe hasa ukizingatia Wakongo wengi ni Wapenda Michezo hivyo wamepima mafanikio yake katika Michezo hasa akiwa na Timu ya Tou Pissant Mazembe na alivyoifanikisha hadi kutisha si tu Afrika bali hadi duniani. Wanadamu ( wapiga kura ) wanaweza wakakupenda kwa kitu kidogo tu hata kama kwako kitaonekana cha Kipuuzi. Ila kiukweli huyu Katumbi anaweza akaibadili Congo kutokana na exposure na networking yake hasa Kibiashara na kujua mno kujichanganya na Wana Kongo. Kushindwa kwa Katumbi kuwa Rais wa DRC labda wamtoe Uhai ( wamuue ) na hata kama wakimuua Kabila asitarajie ataongoza vizuri kwani nchi haitakalika na tunaweza kuona yale ya 1996 hadi 1998.