Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,819
- 2,950
Ahaaaaa na wewe una kadi ya kijani? Au baba ako ndio anayo?chadema kinawauma nini kama ccm inakufa?
Hii ndio huwa mnajitetea nayo, kwa hiyo bashe alikua na maslahi binafsi ndani ya ccm kuliko bulembo??CCM ilihitaji kujisafisha maana kwa muda mrefu walikusanya watu waliojificha kwenye mgongo wa siasa ili watekeleze agenda zao. Kwabahati mbaya magamba yalishindikana kuvuliwa huko nyuma
Ccm inaishia dodoma leo= kutawala
Unamjadili mtu ambae huna taarifa zake za mwenendo na tabia kichama. Zaidi ya hapo maamuzi yanatosha hasa pale ambapo faili lake libajitosheleza.Kufuatia kikao cha dharura muda huu cha CCM Pamoja na wqjumbe wote imekubaliana kumfukuza uwanachama wa ccm Hussein Bashe na mbunge wa Nzega muda huu baada ya kupigana kikaoni akipiga ukiukaji wa taratibu.
Swali langu: Katiba ya ccm inaelekezaje jinsi ya kuwafukuza wanachama watovu wa nidhamu na wasaliti ndani ya chama ?
Je hawapewi nafasi ya kujitetea na kuitwa kuhojiwa?
Mimi naona hapa sasa demokrasia haikufuata mkondo wake kwakua hawajapewa nafasi mbele ya kamati
Shikamoo mwenyekiti mpya wa ccm ya sasa
Hakika namba wameanza kuisoma wale ccm wenyewe
CC Lizaboni
Ccm inazidi kuimarika! Viva CCM!