Hata hufanani, wallet inapumua nilikadiria kuteketeza kama laki na nusu jana ila ndo ivo tena
​yamenikuta sana ila ki gentleman unapiga tu kimyaHayajakukuta wewe
laki na nusu tu.....? afu kifuta jasho ungempa shilingi ngapi.....?....mwenzio alipiga mahesabu akaona hapo unamzingua tu .....
ndio ukubwa huo mzee mwenzang.Yaani mkuu we acha tu nimeacha kuangalia mpira jana kufuata mgegedo kaniletea sinema aisee
ndio ukubwa huo mzee mwenzang.
ivi..... angekupa hicho kilicho kufanya hadi ukachoma mafuta kwa umbali wa km 70 na..
pia ungekuja kumunzishia uzi humu jamvini?
😛eep:
ndio ukubwa huo mzee mwenzang.
ivi..... angekupa hicho kilicho kufanya hadi ukachoma mafuta kwa umbali wa km 70 na..
pia ungekuja kumunzishia uzi humu jamvini?
😛eep:
Mi siwezi kukaa nalo moyoni mdau
Linauma aisee
au mtaje tu mkuu, mwaka huu jf imekua mpyaaaa... hakuna kupigwa pini na asieonekanaHapana mdau ningepiga kimya
Yote haya coz kwa alichonifanyia jana ila bado namvizia nitaleta mlejesho hapa
Cheki bajeti hii;
Hoteli pale ubungo =40,000/
Wote siyo walevi kwa hiyo
Chakula na mbwembwe= 50,000/=
Kifuta jasho au kifua chupi 60,000/=
Usafiri upo,
Kweli hyo pesa ndogo mdau?
Cheki bajeti hii;
Hoteli pale ubungo =40,000/
Wote siyo walevi kwa hiyo
Chakula na mbwembwe= 50,000/=
Kifuta jasho au kifua chupi 60,000/=
Usafiri upo,
Kweli hyo pesa ndogo mdau?
Yani mchepuko tu ndio unapaniki hivyo?Angekuwa mke?
Cheki bajeti hii;
Hoteli pale ubungo =40,000/
Wote siyo walevi kwa hiyo
Chakula na mbwembwe= 50,000/=
Kifuta jasho au kifua chupi 60,000/=
Usafiri upo,
Kweli hyo pesa ndogo mdau?
Wife home umemuachia 10 atumie siku tatu. Kwa Bi mdachi hela haujatuma. Dingi mdogo aliomba 50 ukamtosa. Yatima pale jirani siku ya pili leo hawajala. Ninawaza tuu.
mmh!! sifa kuu ya 'mwanaume' ni kuwa na kifua(hope u know wht i mean) ila wanaume wa cku hizi duuuhh!!!