Kimbunga Helen Chaua Watu Zaidi ya 200 Marekani

Kimbunga Helen Chaua Watu Zaidi ya 200 Marekani

Hahahahhahahahahahajjahahahahajahahaha

Daaahh nimecheka asubuhi hahahha duuh

Yani eti mtu anaiecheka marekani kupoteza watu 200 kwenye maafa wakati yeye mwenywe akidondosha shilingi 200 anainama kuitafuta kila kona ya chumba akifukua mavyombo vyombo machafu ambayo hajaosha tangu apikie makande juzi
Huyo na Luca ni wehu wa JF wanafahamika.
 
Huyo na Luca ni wehu wa JF wanafahamika.
Ahhaha eti mbilia bel nimecheka sana

"Marekani amepteza watu 200 alafu anapoteza pesa israel"👇
Screenshot_20241004-120203.png
 
Inakusaidia nini kusema uongo kiasi hiki? Wangekuwa wanakula nzige wangeimili shughuli za kila siku? Mbwa wewe.
Kwa hiyo umemjibu mbwa?Bata mlemavu wewe usiingilie mambo usiyoyajua.Niliyemuuliza anajua kwa nini nimempa hilo swali mbu mjane wewe!
 
SAF
My Take
USA wako busy na Israel huku watu wao wanakufa bila Msaada 😁😁😁👇👇

--

Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Helene nchini Marekani, imevuka watu 200 wakati huu vikosi vya uokoaji vikiendelea kuwahamisha na kutafuta watu zaidi ambao hawajulikani walipo, hiki kikiwa kimbunga kibaya zaidi kushuhudiwa tangu kile cha Katrina.

Akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Helene, rais Joe Biden , ameahidi msaada zaidi na kutaka wanasiasa kuweka kando tofauti zao ili kusaidia raia.

Mamlaka zinasema mamia ya watu hawajulikani walipo huku nyumba zaidi ya laki 7 zikiwa hazina umeme kwa zaidi ya wiki sasa.

Pia, soma: Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 Nchini Marekani
safi sana helene nxt time piga kitu kizito mpk pentagon...
 
Kwanza wale wenzetu kabla ya kimbuga taarifa wanakuwa nayo, kuna kisima Cha maji huko mtwara kinatoa gas, kuna ziwa limezaliwa huko Katavi hakuna hata anayefuatilia limetokea wapi, kazi Yao kufuatiliwa vya watu.
Waulize mambo na taarifa zote za CHADEMA wanazijua.Ya maana hawajui.
 
Back
Top Bottom