Kimbunga Helen Chaua Watu Zaidi ya 200 Marekani

My Take
USA wako busy na Israel huku watu wao wanakufa bila Msaada 😁😁😁👇👇

--

Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Helene nchini Marekani, imevuka watu 200 wakati huu vikosi vya uokoaji vikiendelea kuwahamisha na kutafuta watu zaidi ambao hawajulikani walipo, hiki kikiwa kimbunga kibaya zaidi kushuhudiwa tangu kile cha Katrina.

Akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Helene, rais Joe Biden , ameahidi msaada zaidi na kutaka wanasiasa kuweka kando tofauti zao ili kusaidia raia.

Mamlaka zinasema mamia ya watu hawajulikani walipo huku nyumba zaidi ya laki 7 zikiwa hazina umeme kwa zaidi ya wiki sasa.

Pia, soma: Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 Nchini Marekani
Wangekufa wote huko marekani
Huyo na Luca ni wehu wa JF wanafahamika.
Wangekufa wote huko marekani
 
Wewe uko bize kushadadi mambo ya Israel wakati hata mia hupati n wao wanakuona Nyau tu.
Umemaliza kulawiti watoto wa madrasa unakuja kusumbua watu humu
Screenshot_20241004-133012.png

Siku ukifa uniachie bikra mmoja unitumie hata kwa bluetooth mwanangu
 
My Take
USA wako busy na Israel huku watu wao wanakufa bila Msaada 😁😁😁👇👇

--

Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Helene nchini Marekani, imevuka watu 200 wakati huu vikosi vya uokoaji vikiendelea kuwahamisha na kutafuta watu zaidi ambao hawajulikani walipo, hiki kikiwa kimbunga kibaya zaidi kushuhudiwa tangu kile cha Katrina.

Akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Helene, rais Joe Biden , ameahidi msaada zaidi na kutaka wanasiasa kuweka kando tofauti zao ili kusaidia raia.

Mamlaka zinasema mamia ya watu hawajulikani walipo huku nyumba zaidi ya laki 7 zikiwa hazina umeme kwa zaidi ya wiki sasa.

Pia, soma: Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 Nchini Marekani
Majeshi yarudi Gaza yaje kusaidia raia wake
 
Upo busy kupost mambo ya USA wakati tumboni una makande ya juzi.
Ww mbona kila siku uko bize kuanzisha nyuzi za kuwaponda waarabu na waajemi hali yakuwa ww ni mganga njaa.
 
Back
Top Bottom