Niaje waungwana
Habari ndio hii wakuu, dakika 20 from now, Tel Aviv, Jerusalem na miji mingine ya Israel inakwenda kugeuzwa takataka na majivu.
Update: Tel Aviv ameanza kuwaka moto. Inasemekana Netanyahu ashatorosha familia yake kabisa.
Na bado asuburi wamalize kufuturu, leo hakuna mtu atakaelala usingizi usiku Israel nzima.
UPDATE: Bahrain, Saudia na Qatar zipo under attack kutoka Iran. Hakuna kuku, njiwa wala kunguru anaetoa pua yake nje.
Tayari Netanyahu ashaanza kusalimiwa na Ayatollah hapo Tel Aviv. Iran inasema hayo makombora yalioenda kumsalimia sasa hivi Netanyahu pale pale Tel Aviv yametumwa kwa ajili ya kuutepetesha na kuufubaza ulinzi wa anga wa Netanyahu na genge lake, kisha mashambulizi halisi yatafuatia.
Picha ya wanaozima moto ni shambulizi la sasa huko Israel ambapo Iran wamerusha ili kutepetesha mifumo mibovu ya bibi na babu yake Trump
View attachment 3549957
View attachment 3549910View attachment 3549911View attachment 3549913View attachment 3549921