Keep on wishing in vain.New Zimbabwe is around the corner!
In vain wakati mambo yameshaanza kwenda mrama?!Keep on wishing in vain.
Hahaaa....nimependa akilizako....kama za MkuuWaondoke tu, hatuhitaj wanyonyaji. Waende uingereza au USA wakawekeze tuone kama hawatatozwa kodi
Nchi zilizoendelea, kwa kodi heri hata kwetu hapa.Waondoke tu, hatuhitaj wanyonyaji. Waende uingereza au USA wakawekeze tuone kama hawatatozwa kodi
Kwa sababu unamtizamo hasi. Tungoje Lowassa atakapokuwa rais mambo yote yatakwenda sawa.In vain wakati mambo yameshaanza kwenda mrama?!
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho w mwezi huu!! Nawasilisha
Amerika watoa shs bl mia nane jana kusaidia maendeleo tz.New Zimbabwe is around the corner!
Halafu faida yote anahamishia nje.Masikini watanzania!!! yaani inafikia hatua ya kuona ni afadhali muwekezaji aendelee tu kuingiza fedha kwa biashara anazofanya nchini bila kulipa kodi za serikali!!!