Nyundo_tz
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 640
- 21
Wadau, nasikitika sana kuona watanzania bado tunasukumwa kwa manufaa ya watu wachache.... kila mwaka lazima "kibopa" fulani aibuke na njia za kuwanyonya wa-TZ... halii hii itaendelea mpaka lini?
kipindi cha upungufu wa umeme, jenereta kibao ziliingizwa kama deal la watu fulani n sasa walaji hawa wamegeukia deal la VING'AMUZI kama njia ya kuendelea kuwanyonya bila soni watanzania ambao kwa asilimia kubwa yao ni masikini n gharama zake ni kubwa kuliko vipato vya wa-Tanzania wengi.
Kinachonishangaza ni viongozi wetu wanavyong'ang'ania lazima mitambo ya analogy izimwe ilihali VING'AMUZI vya DIGITAL (Startimes & Ting) vyote asili yake China na huwezi amini Wachina wenyewe mpaka leo bado wako kwenye analogy system lakini wenye kuhitaji digital pia wanapewa uhuru huo.
Namna hiyo haioneshi maisha bora kwa kila m-Tanzania bali kwa wa-Tanzania wachache.
INAMAANA SISI NDIYO TUMEENDELEA SANA KI-TECHNOLOGY KULIKO WACHINA au NDIYO KIHEREHERE ilihali wananchi waendelee kuumia na washindwe kuona/kupata habari na burudani kama ada?