KAKADO
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 230
- 336
Wadau habari za leo??
kiukweli nimeshindwa kumuelewa huyu binti,sikuwa na muda mrefu tangu nimfahamu ila amenipa mashaka sana,kiukweli ni binti mrembo nilimtamani bila kujua historia yake akili na mawazo yangu yalijaa kumtengeneza chadema(kumtengeneza V) kwanza ndio nimuoe,ila hivi majuzi nilikutana nae njiani nikamwambia karibu nyumbani kimasihara kiukweli nilishangaa alikubali akaja nyumbani a.k.a Geto,bila kuchelewa nadhani alielewa nini nilichomuitia chini ya dakika kumi tangu afike geto mwenyewe bila kumsemesha alichojoa nguo zake na mimi nikajikuta nimemtengeneza CHADEMA kirahisi rahisi bila hata kutumia nguvu.....nilikuwa na lengo lakumuoa kwa stahili hii anafaa kweli kuwa mke huyu?naomba ushauri please