Ukweli mchungu ni kwamba binadamu hawawezi kufikiri, kushikilia, au kumbuka kitu kile kile kwa mwendelezo uleule. Ndiyo maana sisiem wanaposema mtapiga kelele na mtatulia kweli wanamaanisha.
Ingekuwa wewe ungefanya muujiza gani, maana sisi ni wataalamu sana kusema ya wengine ingawa kwa mambo yetu wenyewe nasi tunapigwa chenga. Kuna jamaa mmoja huko UK huwa anasema "mimi mke wangu hanibabaishi", na utadhani ni kweli hayo anayosema, lakini mara kadhaa mke wake amekuwa akimbabsisha. Unaona?