PostGE2025 Kimara Suka tunapata maji kwa saa 6

PostGE2025 Kimara Suka tunapata maji kwa saa 6

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,033
Reaction score
2,123
Aweso hii Gaza ya Kusini anzia pale Over Mataa mlipoweka wanajeshi wa Uganda wale shuka mpaka Mbuzi Online Suka mlipoua boda akiwa na abiria ingia na hiyo njia hapo vuka uwanja mbele dukani mlipoua mtu akiwa dukani nenda mbele kidogo pandisha kimlima hayo maeneo mnafungua maji masaa 6 tena muda ambao watu wako kazini, wakirudi wanakuta mmekata maji. Sasa mnataka tusiende kazini tuchote maji ? Na tusipoenda kazini mtufukuze tuandamane mfuue?

Acheni hizo bana mnaharibu kama mnafungua maji basi wekeni usawa kwa wote sio mnakata ili turudi jioni mtuuzie maji na magari yenu haya siku tutayachoma moto mje mtuue tena
 
Back
Top Bottom