ACCOUNTANT1
Member
- Sep 16, 2016
- 19
- 14
cpa bado ipo juu ndugu zanguasante.. swali sogo bungeni kuna mbunge maji marefu la saba na mbunge profesa tibaijuka.. je wanalipwa mishahara tofauti??
nenda crdb au nmb kuna ma tellor kibao wana masters na kuna wengine wameingia na diploma tu au form 6.. fanya research kama wanalipwa mshahara tofauti..
narudia tena cheo ndio kinaamua mshahara wako sio vyeti
Tanzania now Kuna CPA 8000, Kama ni muhuri hata sisi masaveya tuna mihuri, architectures wana mihuriPeople who have no CPA always are Jealous Usifanye Mchezo na Kukabidhiwa Muhuri na Board (NBAA)
Unakuaga hivi
Fulani Bin Fulani
Certified Public Accountant CPA (T)
National Board of Accountants and Auditors
Date..........…................
Umeua mkuuTGS D1 716,000/-
Usiogope kusema Mkuu kuwa ni TGS DHuku halmashauri kwetu yupo binti mbichi ila anae CPA ila niishie hapa kwa leo
Kapigeni puchu mlale , nyie mnaolinganishiana kazi ,
Pesa ndo kila kitu sana akyanani pesa ndo kila kitu kuwa na pesa uheshimiwe mkuu kama huna pesa kapige puchu ulale (both males and females)
Ili utakapo amka uwaze kutafuta hela....
Wewe ndio umewaeleza ukweli.nimegundua humu watoto wengi sana.
na wengi wenu hamjawahi kuajiriwa kwenye corporates na kuona mfumo wa formal sector ulivyo.
sikilizeni kwa makini vijana. msijidanganye.
mshahara haupangwi kutokana na elimu uliyonayo. bali unapangwa kutokana na position scale.
hata kama wewe ni profesa. kama kwenye kampuni ukipangiwa kufanya kama secretary wa bosi. basi utalipwa mshahara wa level ya secretary wanavyolipwa.
hata kama wewe ni darasa la saba. kwenye kampuni ukiajiriwa kama ceo.. hapo utalipwa mshahara kwa scale ya ceo ilivyopangwa..
ukiwa bank teller hata uwe na master, cpa sijui phd.. utalipwa kwa scale ya bank teller.
inshort mshahara unapangwa kutokana na cheo ulichonacho. au kazi unayoifanya salary scale yake ni shilingi ngapi.