Kima cha chini cha mshahara kwa CPA(T) without experience

Swala sio CPA.....Je utaleta ufanisi gani?isije ikawa CPA za ana ana do
 
Sure swala ni uwezo wako wa kufanya kazi maana wako mpaka maprofesor ambao ni fyenge tu.
Eti unamuajiri Prof. Albert Eisenstein na 'Prof. bwna yule' alafu unalazimishwa kuwalipa mishahara sawa! So fun.
 
Mtu mwenye CPA TRA analipwa kiasi gani..?

(Naomba mtu serious anijibu...)
 
Tuwe serious kidogo, CPA bila experience hamna kitu na kwenye private sectors determinate Ni performance Na hii yakuanza kuulizia mishahara utapata kichaa maana kuna watu hawana hiyo CPA Na take home yao Ni above 5 million, malizia mwenyewe CPA kwenye hiyo kampuni analipwa bei gani! Bottom line tujitume then reward will follow, sio kuwa ndio umepata CPA experience huna unataka mshahara mkubwa. Subira inavuta heri.
 
Kweli wewe ni mtu mzima sasa, maana hayo uyasemayo yalikuwa zamani. Hv sasa elimu na ujuzi vinazingatiwa.
 
Zamani NABOCE ilikuwa dili,dah tunetoka mbali.
 
Sasa na wewe ulihabgaika kusoma ya nini wakati picha yako ipo kwenye pesa ya kingdom yenu ya ZAMUNDA,na hata baba yako alishangaa kusikia eti umeajiriwa pale MC DOLLS hotel wakati dhabau za mikufu yenu tu ungeweza kununua kisiwa.
 
Wapotoshe tu,kazi zenyewe ziko wapi,wewe huenda ulipewa ki-note.
 
Izo firm za government au private? weka bayana swali lako mishahara maana haiko sawa kati ya private na serikali
 
Ila kama govrment ,izo mil 2 umedanganywa
 
Sasa na wewe ulihabgaika kusoma ya nini wakati picha yako ipo kwenye pesa ya kingdom yenu ya ZAMUNDA,na hata baba yako alishangaa kusikia eti umeajiriwa pale MC DOLLS hotel wakati dhabau za mikufu yenu tu ungeweza kununua kisiwa.

Hahhahaha. We jamaa fala sana. Niliamua kujaribu na kwenye elimu ila usimuambia mshua
 
asante.. swali sogo bungeni kuna mbunge maji marefu la saba na mbunge profesa tibaijuka.. je wanalipwa mishahara tofauti??

nenda crdb au nmb kuna ma tellor kibao wana masters na kuna wengine wameingia na diploma tu au form 6.. fanya research kama wanalipwa mshahara tofauti..

narudia tena cheo ndio kinaamua mshahara wako sio vyeti

Kweli wewe ni mtu mzima sasa, maana hayo uyasemayo yalikuwa zamani. Hv sasa elimu na ujuzi vinazingatiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…